Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
IT aliyeshughulikia mpangilio na rangi wa hiyo site alikaa akatuliza akili. nimependa sana hiyo option ya express unajipangi tu sio mpaka ubonyeze bonyeze kwenye more+Wanakata kodi mkuu,ila nimependa urahisi wake tu,
Kuna option ya express betting ambayo unaletewa list ya timu zote zinazocheza baada ya masaa 3,6,12,1 day (u choose it) then unachagua option unayotaka mf.over/under basi timu zoote zinakuja list ya over/under zake.hivo kurahisisha uchaguzi kuliko kuibonyeza kila timu ifunguke.
vipi wamesha jiunga na njia ya m pesa?