shebydough
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 731
- 524
Naona pm kuna under1.5 hafu tena kuna under 2 hapa under ya 2 ndo cjaelewa mwnye kujua plz
Refresh au anza upyaaAliyefaulu huu mtihani anisaidie Tafadhali![]()
Mkuu joaquem kokoro lipo leo??Playmaster wamekuja na viopt flani kama vya bet365 kwenye over/under 0.5, 1, 1.5, 2
Hiyo under 2 inaconfuse sana cheza unayoijua ya under 1.5 mkuuNaona pm kuna under1.5 hafu tena kuna under 2 hapa under ya 2 ndo cjaelewa mwnye kujua plz
Poa mkuuHiyo under 2 inaconfuse sana cheza unayoijua ya under 1.5 mkuu
tatizo wanatumia lain moja tu ya tigo.Playmaster wamekuja na viopt flani kama vya bet365 kwenye over/under 0.5, 1, 1.5, 2
alinipa 5000 nikashindwa kuitumia vyemaJana nlikua sina kitu,playmaster akanipa buku mbili ya bonus nashkuru nimeamka na 15.
Imeshindikana mkuuhata mimi ilinigomea mara ya kwanza..
ila nilipochanganya herufi kubwa na ndogo pamoja na namba ikakubali
Pamoja sana mkuuRefresh au anza upyaa
coming soon iyo M-pesaIT aliyeshughulikia mpangilio na rangi wa hiyo site alikaa akatuliza akili. nimependa sana hiyo option ya express unajipangi tu sio mpaka ubonyeze bonyeze kwenye more+
vipi wamesha jiunga na njia ya m pesa?
kama unatumia chrome badilisha browser labda tumia hata opera kisha anza mchakato upya ukirndelea kupata the same error basi tatizo litakua kwako kwa maana kwamba password unayoweka mara ya kwanza haiendani na unayo weka mara ya piliImeshindikana mkuu
[emoji23] [emoji23]Kichwa cha habari kinajieleza.
Hivi kwa nini nguvu tunayoitumia kujadili masuala ya siasa za Tanzania nguvu hii tungeielekeza kwenye shughuli zingine za maisha, si taifa lingesoma mbele. Simo katika ulimwengu wa siasa sikuhizi. Ni mpira golini, pesa mfukoni.
Waungwana nipeni prediction za Leo premier league, bundesliga, series A na LA liga!
Nawasilisha.
Timu zinakuwa nyingi hadi wote unawaona wachawi.Leo Nina hela ila Sina timu.
Nitaokoteza hapa hapa
Nina 500,000
Za mkekabet.
Pound 10 za William Hill
50000 za premierbet
Nina bonus ya pmbet
Tatizo timu
Atsu umemdharau kiasi hiki?Ushauri Wenu Wazee Hili Vazi Laweza Nipendeza Wikendi Hii??![]()