Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa play master wameweka bonus ya 5000,,,mbona kama picha..aliyeweza kuitumia tafadhali
watu wamesha itumia mbona
iko upande wa kulia baada ya kuweka mkeka wako ch kufanya unaibonyeza yenyewe ndipo unaandika take yako
 
Leo Nina hela ila Sina timu.
Nitaokoteza hapa hapa
Nina 500,000
Za mkekabet.
Pound 10 za William Hill
50000 za premierbet
Nina bonus ya pmbet

Tatizo timu
Az Alkmaar
Sturm Graz
Coleraine
Ayr utd
totenham

All win

2+
Wigan
Dortmund
Leipgz

3+
Psg
 
Hawa play master wameweka bonus ya 5000,,,mbona kama picha..aliyeweza kuitumia tafadhali
Bet kuanzia tm mbili jarbu kuweka normal moja hafu kuna sehemu imeandka unit Press kbatan to unit then placebet
 

Attachments

  • upload_2017-12-5_12-59-43.png
    upload_2017-12-5_12-59-43.png
    11.2 KB · Views: 45
alinipa 5000 nikashindwa kuitumia vyema
Hivi iyo bonasi unaitumiaje?maana nimepewa kila nikibet inakataa inasema sina kitu. Au ndio mpaka ni deposit pesa yangu kwanza?ama unaitumia kwa mkeka mmoja yote?Maana inabidi nitoe pesa zangu premier na kuweka kwao
 
Back
Top Bottom