Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Hivi iyo bonasi unaitumiaje?maana nimepewa kila nikibet inakataa inasema sina kitu. Au ndio mpaka ni deposit pesa yangu kwanza?ama unaitumia kwa mkeka mmoja yote?Maana inabidi nitoe pesa zangu premier na kuweka kwao
Bet kuanzia tm mbili jarbu kuweka normal moja hafu kuna sehemu imeandka unit Press kbatan to unit then placebet