Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sehemu ya kuweka kiasi cha hela ili uweplace bet yako juu yake kuna kitufe cha kuchagua kulipia mkeka wako kwa kutumia hela ya bonus(unit) ,au kutumia hela uliyodeposit..wewe kipeleke kitufe kulia ili uweze kubet kwa kutumia bonus..
Ndo hapa kuna 2000U?
 
Mikeka yangu leo imetoka humu

Chelsea win
Spurs win
Leicester double chance
Wolves win
Aston villa double chance
Wigan win
Psg win
Madrid win
Gent win
Bayern win
Swansea city under 3.5
Burney under 3.5
Juventus double chance
Monaco win
Bradford double chance
Nottingham forest double chance
Fulhan double chance
Rb Leipzig over 1.5
Cfr cluj win
Genk under 4.5
Panionios under 3.5
 
Kuna watu wajinga
Hivi mwanaume kabisa unaomba hela kwa mwanaume mwenzako
mkuu kuna mtu kaja PM au kwa sabab niliandika hivi?
nipe elf 20 tu leo nitengeze laki😀😀😀😀😀
kama post yako ilinilenga mimi you are totally wrong. Kwasabb hilo sio ombi na sijawah kumwomba yeyote humu.
kwasabb tukisema tuwaite watu ni wajinga wanaoomba pesa huo ndio utakua ujinga wenyewe, tukisema tutoe wazi pm zetu hapa watu wangapi wametuomba pesa huko utashangaa na bado hatujawaita wajinga.
Shukuru Mungu unaombwa pesa na hao unao waita wajinga siku zamu yako ikifika...! wacha niishie hapo.
 
1512818226034.png
 
Wadau....... Ama kweli vyuma vimekaza vimekaza si Mchezo yaani leo napata angalau stake ya kuweka Mkeka directly from Princessbet weekend bonus!???

Si Mchezo aiseeee........!!!

Kifuatacho sasa ni Kuitumia Vizuri hii bonus ilete Mtaji leo gemu nyingi sana Ukitulia unapiga pesa
 
hata mimi ilinigomea mara ya kwanza..

ila nilipochanganya herufi kubwa na ndogo pamoja na namba ikakubali
Kama inazingua bonyeza hapo kwe msg watumie wako faster wanajibu muda huo huo
kama unatumia chrome badilisha browser labda tumia hata opera kisha anza mchakato upya ukirndelea kupata the same error basi tatizo litakua kwako kwa maana kwamba password unayoweka mara ya kwanza haiendani na unayo weka mara ya pili
ngoja nikupe format nzuri ya password
kwa mfano wewe unaitwa
Rafael wa Ureno
anza hivi r(weka hizo password)U kama hivi
r1234567U huo ni mfano tu kazi kwako
 



nyegere86, zinaleta odds 8.98 (moja ya Darlington imekuwa postponed) ... sio mbaya nikistake 10K hapa. Au kuna nyingine zinakuja?


SV Grun Weiss Brieselang - Brandenburger SC
Brandenburger SC Süd
1.37
X

FC Metz - Stade Rennes
FC Stade Rennes
2.06
X

Leyton Orient - Sutton United
Sutton United
2.11
X

NK Celik Zenica - Zrinjski Mostar
Zrinjski Mostar
1.16
X

SK Sturm Graz - SKN St. Polten
SK Sturm Graz
1.30
X


Odds: 8.98
 
nyegere86, zinaleta odds 8.98 (moja ya Darlington imekuwa postponed) ... sio mbaya nikistake 10K hapa. Au kuna nyingine zinakuja?


SV Grun Weiss Brieselang - Brandenburger SC
Brandenburger SC Süd
1.37
X

FC Metz - Stade Rennes
FC Stade Rennes
2.06
X

Leyton Orient - Sutton United
Sutton United
2.11
X

NK Celik Zenica - Zrinjski Mostar
Zrinjski Mostar
1.16
X

SK Sturm Graz - SKN St. Polten
SK Sturm Graz
1.30
X


Odds: 8.98
Ngoja niscreenshots nyingine tuzichungulie tuone. Naona leo Montpellier umemuamini na double chance kama nilivyomuamini
 
Ngoja niscreenshots nyingine tuzichungulie tuone. Naona leo Montpellier umemuamini na double chance kama nilivyomuamini


Montpellier jembe hilo ... double chance anatoa leo tena usishangae akashinda ushindi mwembaba km kawaida yake 0-1, 0-2, au Under 2.5 kama kawa.
 
Kama ulitega mkeka wako mapemaa team za England hasa national league na sasa unasubiria mawe, my brother utasubiri sana
 

Attachments

  • Screenshot_2017-12-09-14-56-54.png
    Screenshot_2017-12-09-14-56-54.png
    38.8 KB · Views: 43
Back
Top Bottom