Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
leo chelsea anakufa,meridian kampa westham odd ya 7.0...changamkeni msije sema sikuwaambia
Bora kuweka GG au over 1.5 ila 1×2 haieleweki
leo chelsea anakufa,meridian kampa westham odd ya 7.0...changamkeni msije sema sikuwaambia
sure...ila hiyo juu ndo tafsiri betting....juve mpe draw/ggBora kuweka GG au over 1.5 ila 1×2 haieleweki
Kabla ya kulalama,fuatilia kwanza...kuna kitufe kipeleke kulia kwenye unit..hapo sehemu ya juu ya kuweka stake kwenye mkeka wako...Hii bonus ya pmbet ni uzushi tu mbona mm haikubali?maana naambiwa sina Salio la kutosha
Kazi ipo,...sio kwa chai hiziLeo Nina hela ila Sina timu.
Nitaokoteza hapa hapa
Nina 500,000
Za mkekabet.
Pound 10 za William Hill
50000 za premierbet
Nina bonus ya pmbet
Tatizo timu
Hii bonus ya pmbet ni uzushi tu mbona mm haikubali?maana naambiwa sina Salio la kutosha
Kk naomba unielekeze vizuri c unajua shule zetu za kayumbaKabla ya kulalama,fuatilia kwanza...kuna kitufe kipeleke kulia kwenye unit..hapo sehemu ya juu ya kuweka stake kwenye mkeka wako...
Nchi ya viwanda
Sehemu ya kuweka kiasi cha hela ili uweplace bet yako juu yake kuna kitufe cha kuchagua kulipia mkeka wako kwa kutumia hela ya bonus(unit) ,au kutumia hela uliyodeposit..wewe kipeleke kitufe kulia ili uweze kubet kwa kutumia bonus..Kk naomba unielekeze vizuri c unajua shule zetu za kayumba
Chelsea,astonvilla,rangers,juve over8.5 corners,madrid over8.5corners,newcastle over8.5 corners kazi kwako...!Kazi ipo,...sio kwa chai hizi