Leo nilikuwa nampita kama simuoni vileeee. Westham wanahitaji matokeo sanaaaaaMmh Chelsea ameanza huko ....
Leo ni hatariii tupu ... nadhan GG na kubet under/over zitafanya kazi zaidiLeo nilikuwa nampita kama simuoni vileeee. Westham wanahitaji matokeo sanaaaaa
Leo nilikuwa nampita kama simuoni vileeee. Westham wanahitaji matokeo sanaaaaa
Betshop zao ziko wapi na wapi mkuu?Mimi nimewithdraw kupitia betshop yao..nilicashout online wakanipa code nikaenda bandani kuchukuaView attachment 646989
Ipo hapa kinondoni mwanamboka (kituo cha mwendokasi)Betshop zao ziko wapi na wapi mkuu?
Jamani wadau wenzangu wa hizi kazi [kilimo cha Betting] NAOMBA KUJUA UKIWA UNAWEKA HELA YAKO KWA PLAYMASTER (kwa tigopesa) wanakata ada????????Mimi nimewithdraw kupitia betshop yao..nilicashout online wakanipa code nikaenda bandani kuchukuaView attachment 646989
HawakatiJamani wadau wenzangu wa hizi kazi [kilimo cha Betting] NAOMBA KUJUA UKIWA UNAWEKA HELA YAKO KWA PLAYMASTER (kwa tigopesa) wanakata ada????????
Au ni kampuni gani ukiweka hela kwa TIGOPESA KWNY AKAUNTI YAKO YA BETTING hawakatiii kabsaa ADA (hela) ya Muamala
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Westham ni maiti inayotafuta kumng'ang'ania muoshaji.