Ten tu mkuu,hapa nasubiri spurs na Psg nichukue changuUliweka stake ya ngapi?
Ten tu mkuu,hapa nasubiri spurs na Psg nichukue changuUliweka stake ya ngapi?
Oooh okay asante sana kakaHawakati
leo nimebet zangu jackpot baaasUliweka stake ya ngapi?
sijui amenitokea wap
Na kabanwa sijui kama atashinda.sijui amenitokea wap
😀😀😀😀 nawaza alie weka laki tano😀😀😀
Nilisema mapema Moyes lazima afe na mtu
leo nimebet zangu jackpot baaas
ashapigwa mojaDaaah kuna mtu anamuelewa anachikifanya huko atusaidie kutupa imani? ...
Leo kuna dalili za kupishana na hela
mimi hii team msimu huu siibetii hadi next seasonDortmund kwanin lakin unapenda kutukosesha raha
Mie nliotea over 4.5 first halfCorner game ya Madrid dk 30 corner 7
Ice hockeyMm naomba kuuliza madrid anacheza football au netball jamani?