Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Valencia akifanya ujinga anaondoka na kijiji [emoji30]
Dah asubuhi ulivopost ule mkeka wako nikajua ushautoa ila kama usingeutoa ningekwambia ukaushe maana astonvilla ilikua sio timu ya kuiweka 2+ leo maana ulikua unaoption better kuliko hiyoAston villa amenifanya kitu kibaya sana
Galatasaray 2 - 2 Akhisar Genclik SporGalatasaray 0:2 Akhisar Belediye Genclik Ve Spor
Betting si masihara, uwe na bahati haswa....yani uyu nae anaenda na kijiji wakati alikua na odds ndogoooo za kushinda
20 Norwich 0 - 1 GOALSheffield WedView attachment 647222odd 10+ tunaqsubili hii mechi
Norwich 0 - 0 Sheffield Wed
Watu kama hawa ni kuwa nao makini.Tujipange wazee ..Bado Mda wa kulipiza kisasi Upo Fanya Kwenda kuweka Tena zilizo bakia
wapuuzi kweli wanarudishiwa dakika za mwishoMk dons ameshikilia pesa yangu
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yaani sielewi nilichobet leo ila kila nkiangalia kinachoendela viwnjani jasho linanifumka balaa
Kila mmoja anauzuri na ubaya,ngumu sana kuchagua mmoja tuTofauti katika malipo ya premier bet na play master ni katika kodi.
Angalia zote odds sawa ila possible win ni tofauti![]()
![]()
Premier siwakubali katika kuwithdraw
Hawa play master nawakubalinkwa options.
Nataka kubetiView attachment 627464 basket hizo,chagua hapo 95%sure