Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

47370d8007c0e9b45a6b305aba32da6b.jpg
eafb00379f7937ae224f25610cdc45b9.jpg

IMG_0437.jpg
IMG_0438.jpg
IMG_0439.jpg
 
katika harakati za kumtakatisha muhindi, naendelea kuwakumbusha ndugu zangu wa 2+ na 3+ ligi za Israel na Seria B ya Italy bado hazijaongopa

ligi zote za wanawake pia zinatoa sana magoli na GG za kumwaga
 
Nilikuwa nasubiria NEW CASTLE na LEICERCITY under 4.5 ilikuwa 2-2 kuna jamaa amejifunga 90'
FT 2-3 [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom