hongera but uliutuma kabla? kama hukufanya hivo bora usituambie itakuwa kama unatulocha.Wadau nilikua namsubiri Leiceister city tuu hahahaha nimepiga laki 122,926 swaaafi kutoka mCHEZA BetView attachment 647385View attachment 647386
hongera but uliutuma kabla? kama hukufanya hivo bora usituambie itakuwa kama unatulocha.
poa fanya hivo na wenzio tumkalishe kanji sio kupost tu mkeka ambao umeshawin. lengo la kukutana humu kubwa zaidi nikushare jinsi ya kumkalisha kanji.Nisamehe mdau leo ndo nimejoin humu...ila nilituma tu kuhusu mCHEZA BET kua ni kampuni mpya watu wanaweza kujisajili nakuanza kucheza...
Sikujua utaratibu...”MNISAMEHE SANA SASA NIMEJUA” ntakua naweka hapa[emoji106][emoji120]
weka linkNisamehe mdau leo ndo nimejoin humu...ila nilituma tu kuhusu mCHEZA BET kua ni kampuni mpya watu wanaweza kujisajili nakuanza kucheza...
Sikujua utaratibu...”MNISAMEHE SANA SASA NIMEJUA” ntakua naweka hapa[emoji106][emoji120]
Wadau nilikua namsubiri Leiceister city tuu hahahaha nimepiga laki 122,926 swaaafi kutoka mCHEZA BetView attachment 647385View attachment 647386
Sawa [emoji144]♂️[emoji144]♂️Nisamehe mdau leo ndo nimejoin humu...ila nilituma tu kuhusu mCHEZA BET kua ni kampuni mpya watu wanaweza kujisajili nakuanza kucheza...
Sikujua utaratibu...”MNISAMEHE SANA SASA NIMEJUA” ntakua naweka hapa[emoji106][emoji120]
Ipi hapo bossmaana yake nn hii option? Msaada jaman![]()
View attachment 647399kama umeliwa leo tia buku hapa tumjaribu tena odds 16+
option hii maana yake nn![]()
magoli mengi yapatikane kipindi cha pilioption hii maana yake nn![]()
Call me plz troublemaker 0716858011magoli mengi yapatikane kipindi cha pili
dkk ya 22 Twente 1 - 2 GOALView attachment 647452mpaka mda huu hofu ni kwa juve tu
Afu Sasa umechanika dah kanji hafaiAfu we jamaa nakukubali knoma kwenye uchambuzi, sasa unaponiwekea timu 2 tu kiuoga wakati sisi wa jero, jero tulitegea utatuwekea timu 20 apo unatuangusha but fresh bhana, wale wanaweka mzigo wa laki, laki2 mfuateni Koncho77.