Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji23][emoji23]
 
Nasubiri nisikie kudiposit na kuwithdraw wako faster kama mkeka au ndiyo yale ya premier
 
Vip kuhusu kukatwa kodi na hawa playmaster?
Wanakata kodi mkuu,ila nimependa urahisi wake tu,

Kuna option ya express betting ambayo unaletewa list ya timu zote zinazocheza baada ya masaa 3,6,12,1 day (u choose it) then unachagua option unayotaka mf.over/under basi timu zoote zinakuja list ya over/under zake.hivo kurahisisha uchaguzi kuliko kuibonyeza kila timu ifunguke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…