Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tofauti katika malipo ya premier bet na play master ni katika kodi.
Angalia zote odds sawa ila possible win ni tofauti
Premier siwakubali katika kuwithdraw
Hawa play master nawakubalinkwa options.


Kwa lugha nyepesi ni kwamba Premierbet wanakulipia kodi lkn Play master hawakulipii kodi.
 
wakuu kuna aliye register mcheza?anielekeza kwenye password.maana nikiweka password zangu inagoma nikitumia za kwao igoma .sijajua nakosea wap?
 
Hapa Chelsea na wolves ndo wamechana mkeka..odd 181,timu 21...
 
wakuu kuna aliye register mcheza?anielekeza kwenye password.maana nikiweka password zangu inagoma nikitumia za kwao igoma .sijajua nakosea wap?

Mkuu password inatakiwa uanze na herufi kubwa then mwishoni namba flani. Mfano; Mahome1310 Mfumo kama huo inakubali fasta sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…