Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahahaa mkuu hii kazi ningumu sana na yahitaji uvumilivu wa hali ya juu mi kila nikijaribu kuacha nashindwa maan nikiangalia bet history nakuta mhindi namdai pesa mingi sana hivyo narudi tena sasa hapa nishajiapiza kabisa NO RETREAT NO SURRENDER mpaka pesa zangu zirudi sitakubari kirahisi naamini ipo siku atarudisha zaidi ya alichochukua hizo nimemkopesha tu kwa muda
Hii kama vita ukiishiwa risasi ata mawe unatumia hivyo kanji lazima ajue sisi wengine haturud nyuma atuchapeee ila ipo cku na sisi juu ya majumba yetu tutaweka historia tu kwa mgongo wa kanji.
 
Juventus,Napoli,Roma,Chelsea,arsenal,Liverpool,man utd na wengine wengi wameharibu wikiend hii hamna aliyebet bila kuweka moja ya timu hapo juu ,je? kuna mtu amemla huyu mhindi kweli?
 
Back
Top Bottom