Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Kudadek!! Nitahonga wafanyakazi wa Premierbet wanitumie hela zangu nilizowapa
Kudadek!! Nitahonga wafanyakazi wa Premierbet wanitumie hela zangu nilizowapa
Yaani kila siku nazidi kukonda kweli jamani wakati naanza kubet nilikuwa hivi kweli?Inatia hasira sana[emoji23]
Pole mkuu, kwani una muda gani tangu umeanza kubet?Yaani kila siku nazidi kukonda kweli jamani wakati naanza kubet nilikuwa hivi kweli?
Sijamaliza mwaka ila Kinga ya mwili imeshuka sana, Uzito umeshuka sana, mapigano ya moyo sio sawa na enzi zile naanza kubet nimekuwa mweusi sana na pia mwenye hasira za karibu. Nimejaribu kuombewa hasira ziishe ila hakuna mafanikio.Pole mkuu, kwani una muda gani tangu umeanza kubet?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] daa mkuuSijamaliza mwaka ila Kinga ya mwili imeshuka sana, Uzito umeshuka sana, mapigano ya moyo sio sawa na enzi zile naanza kubet nimekuwa mweusi sana na pia mwenye hasira za karibu. Nimejaribu kuombewa hasira ziishe ila hakuna mafanikio.
Duh! Basi chukua likizo fupi ujipange upya, huu mchezo ni hatari zaidi ya madawa ya kulevyaSijamaliza mwaka ila Kinga ya mwili imeshuka sana, Uzito umeshuka sana, mapigano ya moyo sio sawa na enzi zile naanza kubet nimekuwa mweusi sana na pia mwenye hasira za karibu. Nimejaribu kuombewa hasira ziishe ila hakuna mafanikio.
Sawa mkuu nashukuru kwa ushauri nitajitahidi kuwa mbali. AsanteDuh! Basi chukua likizo fupi ujipange upya, huu mchezo ni hatari zaidi ya madawa ya kulevya
Nimejaribu ov 1.5 imegoma mkuu hata timu moja shida yaani najikuta nabadili makampuni nikiamini huko kuna pesa ni kipigo tu, Uwiiiii Mhindi niachie roho yangu pesa chukua.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] daa mkuu
Hahahahaa mkuu hii kazi ningumu sana na yahitaji uvumilivu wa hali ya juu mi kila nikijaribu kuacha nashindwa maan nikiangalia bet history nakuta mhindi namdai pesa mingi sana hivyo narudi tena sasa hapa nishajiapiza kabisa NO RETREAT NO SURRENDER mpaka pesa zangu zirudi sitakubari kirahisi naamini ipo siku atarudisha zaidi ya alichochukua hizo nimemkopesha tu kwa mudaNimejaribu ov 1.5 imegoma mkuu hata timu moja shida yaani najikuta nabadili makampuni nikiamini huko kuna pesa ni kipigo tu, Uwiiiii Mhindi niachie roho yangu pesa chukua.
Mkuu akishinda uniambie maana na mimi nimevurugwa leo hapa sina hamuLyon ujue umeshikilia hela yangu[emoji32][emoji32][emoji32]
Yanakera sana haya mapungaukibet over yanatoa under, sasa dawa ni kubeti vice versa na mawazo yako
Namdai Mil 5 bora anipe nimwache kabisaHahahahaa mkuu hii kazi ningumu sana na yahitaji uvumilivu wa hali ya juu mi kila nikijaribu kuacha nashindwa maan nikiangalia bet history nakuta mhindi namdai pesa mingi sana hivyo narudi tena sasa hapa nishajiapiza kabisa NO RETREAT NO SURRENDER mpaka pesa zangu zirudi sitakubari kirahisi naamini ipo siku atarudisha zaidi ya alichochukua hizo nimemkopesha tu kwa muda
[emoji15] Sina hamu utashangaa dakika ya 7 BaoWaungwana gem ya Derby ya Manchester option nzuri ni ipi !!! Mimi nataka nijaribu HIV
1. 28+ odds 2.19.
2. NG. Odds 2.25 Nataka niigawe laki namna hii