Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nifanyeje nifute history ya mikeka yangu niliyobet naona kama inanipa hasira kila nikikagua nashikwa na hasira.

Premierbet
 
f5245a99d56703ad2bdf7df695b19501.jpg
Bet won
Ngoja niendelee kunywa supu
 
Uwe unatuletea na hizi chief...zinasaidia kupunguza maumivu
Sawa chief maana siku hizi nashukuru tamaa zinapungua. Nakuwa nafukuzia odd 2 hadi tatu. Mathalani hzo hapo juu ni 3.5 kwa 10k unakuwa na 35k ambayo unaweza kulipia kifurushi cha DSTV BOMBA
 
Back
Top Bottom