Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ingia kwenye Akaunti yako ya mCHEZA Fanya yafuatayo :
1.Chagua "KUWEKA"
2.Chagua "DUSUPAY"
3.Weka kiasi cha Pesa
4.Thibitisha malipo Kwa "DUSUPAY"
5.Kamilisha malipo yako.

Kwa msaada zaidi wasiliana nasi huduma Kwa mteja 0764 701 600

Au tembelea Kurasa zetu za mitandao ya kijamii Facebook @mCHEZA TZ Twitter @mCHEZATZ
Instagram@mCHEZA_TZ

mCHEZA USHINDI KOTEKOTE
Reference number ni ipi?
 
Reference number ni ipi?

IMG_0433.jpg


Mfano kwa hapo ni hiyo inayoanzia 4L...kama unatumia mpesa
Kama tigopesa hua inakua kwenye sms uliyopata baada ya kufanya muamala utaona inasema “kumbukumbu no: 206063...
Hiyo ndo unayoingiza...
So angalia muamala wa kudeposite uloufanya utaona
 
Back
Top Bottom