Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

4b5d78cba2b1f23bb7edcb18c6902bf3.jpg
hili tatizo linasolvikaje wakuu nishashindwa kudeposit mara nyng naachana nayo
 
Mi kila nikitaka kuweka mpunga inagoma
Kama unatumia Tigo pesa au Mpesa nenda kwenye menu ingiza namba ya kampuni 400700 kumbukumbu no.008 kisha weka kiasi cha fedha halafu weka pin yako baada ya hapo utapokea ujumbe toka mpesa au tigo pesa kuthibitisha malipo baada ya hapo rudi kwenye akaunti ya mcheza fuata procedure za kudeposit utafika sehemu watahitaji transaction id kwa mpesa huanza na 4*** na kwa tigo pesa ni Txnid:*****
 
Back
Top Bottom