Mwenye kufuata twende View attachment 647777
15000Umestake ngapi hapo Mkuu ?
HahahahHaifutiki. Dawa ni kuhama kampuni tu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
ongeza na arsenal [emoji23]Real sociedad mafalaa sana...romaa mbwaa naee
Noma sana wameenda na mkeka wangu wa 2+Duuh stats zote hizi lkn goli halipatikani ... come on AS Roma
![]()
tulia hivyohivyo watakuwekea tu ila hutaweza kuitoa wkend hiiAwa premier mbona siwasomi nimebet mechi 3 na zote zimetiki cha ajabu naangalia salio naona mzigo awajaweka narud kuangalia mkeka mechi mbili wameweka matokeo lakin mechi moja hawajaweka na mechi imeshaisha,msaada tafadhali.
Haa haa aiseeetulia hivyohivyo watakuwekea tu ila hutaweza kuitoa wkend hii
Daaaah kaka tatizo ndo mtaji wenyewe huu nataka nimuwahi liver apo kanji ananichelewesha Brazza.tulia hivyohivyo watakuwekea tu ila hutaweza kuitoa wkend hii
View attachment 647781inatosha kwa Leo[/QUOT Uko vizuri huo kk mila kheri
Ni baada ya arsenal kuchana mkeka wanguView attachment 647781inatosha kwa Leo