Mpambalachuma
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 362
- 44
ile ni nomaas nilikomaaa nayo nikatoka kapajackpot sio mate eti kila mtu anaweza kuyameza hahah ilichanika mapema mnooooo
Yaan mimi nina mkeka hapa nikikuonuesha unaeza sema wkend hii mimi ndio nina bahati mbaya kuliko wote[emoji23]
Kweli alafu 1-1 mpira kushnei[emoji15] Sina hamu utashangaa dakika ya 7 Bao
Okay brother all the best me nimeweka hvyoninGekua mim ninGeweka GG&DRAW TREND YA LEO PREFER LEAGUE INATISHA
GG IMETOA KIPINDI CHA KWANZA KAMA IMEWEKA NG 50 YAKO IMESHA ONDOKA.Okay brother all the best me nimeweka hvyo
Nimeweka 50,000 28+ nimekula.GG IMETOA KIPINDI CHA KWANZA KAMA IMEWEKA NG 50 YAKO IMESHA ONDOKA.
NASUBIRI DROO
Kuweka NG inataka moyoGG IMETOA KIPINDI CHA KWANZA KAMA IMEWEKA NG 50 YAKO IMESHA ONDOKA.
NASUBIRI DROO
Bado moja tuhii Game ya Manchester niki wapa GG&3+ si inatoa wadau??
Hii kama vita ukiishiwa risasi ata mawe unatumia hivyo kanji lazima ajue sisi wengine haturud nyuma atuchapeee ila ipo cku na sisi juu ya majumba yetu tutaweka historia tu kwa mgongo wa kanji.Hahahahaa mkuu hii kazi ningumu sana na yahitaji uvumilivu wa hali ya juu mi kila nikijaribu kuacha nashindwa maan nikiangalia bet history nakuta mhindi namdai pesa mingi sana hivyo narudi tena sasa hapa nishajiapiza kabisa NO RETREAT NO SURRENDER mpaka pesa zangu zirudi sitakubari kirahisi naamini ipo siku atarudisha zaidi ya alichochukua hizo nimemkopesha tu kwa muda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tufungue kampuni za betting jamani
Uyo Napoli leo kanikosesha 60000 mpaka nikawa najiuliza kwan ulaya nako mpira wanaendaga kuroga?Magoli wanayokosa Napoli mmmh unawezakulia
Yeah nilicheza 28+ nikajua inaweza ikapitiliza 0-0Kuweka NG inataka moyo
Aisee
All bet slip today lost
WONhii Game ya Manchester niki wapa GG&3+ si inatoa wadau??