Kila kitu sawa, ahsante sana
Hayaa zile Hockey za jana za Canada ulizowaambia wadau waweke ocer 4.5 naona zote zilikubalichangamkieni hizo wekeni over 4.5
Acha tu mkuu
Pole sanaLeo nimepigwa kipigo kitakatifu khaaa
sidhan kama watu walikua bado na mitaji😀😀😀 OHL haijawah kumtupa mtu tangu inipe lak nne naiamini mpaka keshoHayaa zile Hockey za jana za Canada ulizowaambia wadau waweke ocer 4.5 naona zote zilikubaliView attachment 648382
mkuu nimewacheki ila deposit kwa m pesa awana.kuna multbet ivi unabeti game moja kwa option kibao at once?Kila kitu sawa, ahsante sana
mkuu tutupie na sisi bac tujalibuhockey ni mkombozi sana.
football wanipite mbali, sasa hivi bora muda nipoteza kufatilia mienendo ya ice hockey tuu
Mimi ngoja niingie chimbo nitarudi na mbinu mpya kabla ya januaryTushirikishe mkuu tushirikiane kuzirudisha pesa zetuu...maana me kila nikipewaga za Uso huwa nakujaga na mbinu mpya ila waaapi....naendelea kuchezea kama kawaaa[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]
[emoji23][emoji23][emoji23] dahNikikumbuka mapacha wawili ROMA na NAPOLI machozi yananilenga
yu can test it
Dah yan acha tu mkuu, Roma na Napoli ndo walionichania mikeka yangu yote janaNikikumbuka mapacha wawili ROMA na NAPOLI machozi yananilenga
Kutoa inachukua mda gani?Ngoja nitupie hii mzee
Kutoa inachukua mda gani?