Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Sijatumiwa hiyo sms mkuuNi ile sms unayotumiwa na mtandao wa simu ulioutumia kulipia
MPWA POVU LISIKUTOKE HIZO N PRED MKUU UNAAMUA KUCHUKUA UNAACHA....Hyo game ya alkmaar haiwez kutoa Over 2.5.
Maana wote wako mkiani.
Afu ufungaji sao wote wawili ni waku suasua.
Sticker zote butu.
Hiyo sms unatumiwa baada ya kufanya malipo.Sijatumiwa hiyo sms mkuu
Hii mechi imehairishwa...Derby County - Chelsea FC
Over 3.5 goals
2.20
Hiyo sms unatumiwa baada ya kufanya malipo.
Namba ya kumbu kumbu ya malipo ni 008.
Namba ya kampuni 400700
Game nyingi zinaahirishwa unaeza beti saiv baadae unakuta mkeka wote ni voidHii mechi imehairishwa...
Ayaaaa dahHii mechi imehairishwa...
December hii viwanja vingi vinajaa barafuGame nyingi zinaahirishwa unaeza beti saiv baadae unakuta mkeka wote ni void
Hii mechi imehairishwa...
Amen MkuuMungu WA isaka akubariki raphael