Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naona umemuotea kanji leo.....ningesanuka mapema si ningeweka mshara kabisa
Ha ha ha......
Katika kubeti Takwimu ni muhimu sana jomba.

Na muhindi wa princess bet alkuemo humu.

Maana nlipoanza kusambaza habar za hao jamaa humu.

Saa kumi unusu nkakuta keshamshushia Odds mpk 1.53
Hyo game ya alkmaar haiwez kutoa Over 2.5.

Maana wote wako mkiani.

Afu ufungaji sao wote wawili ni waku suasua.

Sticker zote butu.
 
Ha ha ha......
Katika kubeti Takwimu ni muhimu sana jomba.

Na muhindi wa princess bet alkuemo humu.

Maana nlipoanza kusambaza habar za hao jamaa humu.

Saa kumi unusu nkakuta keshamshushia Odds mpk 1.53
ni kwamba asubuhi ukifungua mechi nyingi huwa na odds nzuri but mda unavozidi kwenda wanaendelea kupunguza na kuongeza baadhi ya sehemu. kumbuka na wao wanakuwa wanaendelea kufanya analysis
 
Ukimuotea tena rusha humu tusawazishe makosa
 
ningejua ningeongeza 0
Ni mwenyewe ningekua na mtaji mkubwa ningeongeza maradufu.

Kudadeki muhindi kaingia cha kike leo.

Tokea nmeanza kubet alduhail kaniangusha mara moja tu.

Na ilkua ni wiki ilopita alpotoa sare.

Ndo maana leo nmempa sana japokua nlikua kias flan nastuka coz wiki ilopita ndo katoa sare yake ya kwanza tokea msimu uanze.
amewahi
 
70
blinker.gif

Al-Khor
Al Duhail

0
8
 
ni kwamba asubuhi ukifungua mechi nyingi huwa na odds nzuri but mda unavozidi kwenda wanaendelea kupunguza na kuongeza baadhi ya sehemu. kumbuka na wao wanakuwa wanaendelea kufanya analysis
Ila sio kwa mabadiliko hayo ya al duhail
 
Ni mwenyewe ningekua na mtaji mkubwa ningeongeza maradufu.

Kudadeki muhindi kaingia cha kike leo.

Tokea nmeanza kubet alduhail kaniangusha mara moja tu.

Na ilkua ni wiki ilopita alpotoa sare.

Ndo maana leo nmempa sana japokua nlikua kias flan nastuka coz wiki ilopita ndo katoa sare yake ya kwanza tokea msimu uanze.
amewahi
unajua kabla hata wewe ujaleta prediction kuna mkeka nilikuwa nishaweka mechi yake yapatikane magoli kuanzia mawili kipindi cha kwanza. sema wanawake wa japani wameshauchana.

waqatar huwa nawaamin sana kwa kufungana aisee.
 
Qarabag FK 0 v 1 FK Sumgayit

nataka kuweka mogoli mengi kipindi cha pili hii mechi.
maoni tafadhali ni htime wapo kwa sasa
 
Kudadeki washabadilisha odds princess bet kwny game ya Lyoni.
Wamempa 1.17 kutoka 1.45 mchana
 
Back
Top Bottom