mzungu wa roho
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 209
- 141
mbona unaguna mkuu??
mbona unaguna mkuu??
Nimeangalia kwenye premier naona Rayyan anakipiga kesho saa 17:00 na al arabi chief au kuna nyingine?Leo leo Saa 4 unusu
yesWakuu hivi Mkekabet unaweza kucash out hata km game zilizo/iliyosalia imeshaanza kucheza?
duuh lzm angelia kilugahuyu kanji huyu ipo siku tuu!!!View attachment 648639
nimeona jumla ya odds zilizokuepo zimenifanya nigune. elfu tano tu kama zingeenda vyema ingetosha kutengeneza 10Mmbona unaguna mkuu??
BET WON
Ila mzigo unaotoka ni kidogo sana MkuuSafi, ngoja nimskizie huyu Schaffhausen mpk Half Time, nikiona haeleweki naweka mpira kwapani.
Ila mzigo unaotoka ni kidogo sana Mkuu
afadhali hata hicho kichache kuliko kuliwa chote mkuuIla mzigo unaotoka ni kidogo sana Mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Safi, ngoja nimskizie huyu Schaffhausen mpk Half Time, nikiona haeleweki naweka mpira kwapani.
Agizaaaa supuu kabisaa mpwaaaa ..kaziishaishaYes coz wanahesabu zile ambazo umeshashinda tu ... mm amebaki Schaffhausen na Lazio ... wote ushindi wa kawaida.
Agizaaaa supuu kabisaa mpwaaaa ..kaziishaisha
Princess betNimeangalia kwenye premier naona Rayyan anakipiga kesho saa 17:00 na al arabi chief au kuna nyingine?
Hahaha, huyu naona amenipa matumaini ... Lazio sasa, asije akanifanyia ya AS Roma jana.
By the time hii game inaisha, ya Lazio watakuwa HT nafkiri, so nae ntamskizia hadi HT.