Nakupa pole sana mkuu.we jamaa betting haitabiriki,hizo data zinaweza zisifante kazi leo
kapiga la saba hukoNakupa pole sana mkuu.
Zishafanya kazi zaidi na maradufu.
Dakika ya 60, Al duhail Leckhwiya anaongoza 6:0
Ha ha ha......Naona umemuotea kanji leo.....ningesanuka mapema si ningeweka mshara kabisa
Hyo game ya alkmaar haiwez kutoa Over 2.5.
Maana wote wako mkiani.
Afu ufungaji sao wote wawili ni waku suasua.
Sticker zote butu.
ni kwamba asubuhi ukifungua mechi nyingi huwa na odds nzuri but mda unavozidi kwenda wanaendelea kupunguza na kuongeza baadhi ya sehemu. kumbuka na wao wanakuwa wanaendelea kufanya analysisHa ha ha......
Katika kubeti Takwimu ni muhimu sana jomba.
Na muhindi wa princess bet alkuemo humu.
Maana nlipoanza kusambaza habar za hao jamaa humu.
Saa kumi unusu nkakuta keshamshushia Odds mpk 1.53
Ukimuotea tena rusha humu tusawazishe makosaHa ha ha......
Katika kubeti Takwimu ni muhimu sana jomba.
Na muhindi wa princess bet alkuemo humu.
Maana nlipoanza kusambaza habar za hao jamaa humu.
Saa kumi unusu nkakuta keshamshushia Odds mpk 1.53
Ni mwenyewe ningekua na mtaji mkubwa ningeongeza maradufu.ningejua ningeongeza 0
Jamaa wamekinukisha70
Al-Khor
Al Duhail
0
8
Usijali mkuuUkimuotea tena rusha humu tusawazishe makosa
Ila sio kwa mabadiliko hayo ya al duhailni kwamba asubuhi ukifungua mechi nyingi huwa na odds nzuri but mda unavozidi kwenda wanaendelea kupunguza na kuongeza baadhi ya sehemu. kumbuka na wao wanakuwa wanaendelea kufanya analysis
unajua kabla hata wewe ujaleta prediction kuna mkeka nilikuwa nishaweka mechi yake yapatikane magoli kuanzia mawili kipindi cha kwanza. sema wanawake wa japani wameshauchana.Ni mwenyewe ningekua na mtaji mkubwa ningeongeza maradufu.
Kudadeki muhindi kaingia cha kike leo.
Tokea nmeanza kubet alduhail kaniangusha mara moja tu.
Na ilkua ni wiki ilopita alpotoa sare.
Ndo maana leo nmempa sana japokua nlikua kias flan nastuka coz wiki ilopita ndo katoa sare yake ya kwanza tokea msimu uanze.
amewahi
teh teh teh la 9Jamaa wamekinukisha
Jamaa wanafanya sifa sasateh teh teh la 9
mpe qarabag direct winQarabag FK 0 v 1 FK Sumgayit
nataka kuweka mogoli mengi kipindi cha pili hii mechi.
maoni tafadhali ni htime wapo kwa sasa
Hapo ni bora kuweka over 0.5 second half.mpe qarabag direct win
odds 2.10 hizoHapo ni bora kuweka over 0.5 second half.
Ni Kama odd 1.2
Inatosha sana
Hongera sana mkuu.odds 2.10 hizo
qarabag 2-1 summygat