Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya walionifata leo wanafunga hesabu zao mapema kabisa.

Wolfsbg anaongoza 2:1 dhidi ya Bayern.

Over 2.5 kweupe kabisa mapema ishatoka.

Hela ya balimi tayari
 
Haya walionifata leo wanafunga hesabu zao mapema kabisa.

Wolfsbg anaongoza 2:1 dhidi ya Bayern.

Over 2.5 kweupe kabisa mapema ishatoka.

Hela ya balimi tayari
Unachelewa kuleta chief.....matokeo yake nimeenda romania huko nimewapa ov 2.5 mpaka najilaumu...game inakaribia kuanza ngoja niombe mungu liwalo na liwe
 
jaribu uwe unatumia option ya even or odds. ila mara nyingi odd ndo hupatikana sana total odds huwa 1.80+
Itabd nijifunze vizur sheria na kanuni za uke mchezo kabla sjaanza kumtajirisha muhindi.

Next tip
Mfuate Al rayaan ligi ya Qatar.

Huyo nae ni pacha wake Lukhwiya Alduhail.

Ile uyo ndie mnyama zaidi ya Al duhail kwenye mechi za ugenini.

Anaongoza msimamo wa away
 
Ya lini hiyo chief
 
nikiwa serios ninapoweka mzigo huwa sichezagi direct win mara nyingi. nachezaga magoli tu na double chance. but qatar kwa kutoa magoli mengi huwa nawapata
 
Tahadhali

Fortuna Dusseldolf hayuko form.

Epuka kumpa moja kwa moja.

Maana mwenzie Nurnberg Yuki form sana, Hasa game za away.

Keene msimamo wa away matches Yuko nafasi ya pili na Hajapoteza 1st half tokea msimu umeanza.
 
Unachelewa kuleta chief.....matokeo yake nimeenda romania huko nimewapa ov 2.5 mpaka najilaumu...game inakaribia kuanza ngoja niombe mungu liwalo na liwe
Afadali naona mpaka sasa dinamo wanaongoza 2 bado goli moja nimchape mla pilili...mungu saidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…