koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
Duh kaokoa jahazi hapa namsubiria Lazio ashinde yeyote sijui itatoka.Guimaraes 1 - 0 Feirense dah dakk ya 90+ mkeka bado unapumua
Duh kaokoa jahazi hapa namsubiria Lazio ashinde yeyote sijui itatoka.Guimaraes 1 - 0 Feirense dah dakk ya 90+ mkeka bado unapumua
me leo nimeingia cha kike kwa israel wamesepa na pesa shenzi sana dkk 90. 0 - 0Duh kaokoa jahazi hapa namsubiria Lazio ashinde yeyote sijui itatoka.
Takwimu hazidangani.Maccabi Petah Tikva 0 - 0 Maccabi Tel Aviv wanachana mkeka wangu niliouamin hiv hiv shenzi zake
Dusseldorf 0 - 2 NurnbergTahadhali
Fortuna Dusseldolf hayuko form.
Epuka kumpa moja kwa moja.
Maana mwenzie Nurnberg Yuki form sana, Hasa game za away.
Keene msimamo wa away matches Yuko nafasi ya pili na Hajapoteza 1st half tokea msimu umeanza.
mkuu nililiona hilo but ndo mana nikaipa mechi over 0.5 second halfTakwimu hazidangani.
Mimi nilimpa 1st half atoe sare au agongwe
Hayuko form kipindi hiki, Hasa away games.
Amekua hashindi 1st half, akijitahidi ni sare.
Na mechi 2 away katoa sare first half kisha akapoteza full time
Pia kwny ligi yao 49.5% home teams wanashinda ukilingnisha na 30.1% away teams kushinda.
Ni muhimu sn kufuatilia statistics mkuu.
Pole sana ndugu yangu, Never gv up!
tumaini langu lote limebaki kwenye huu tu.
Kurudia Mimi mwnyw sipendagi.View attachment 649056kurudia mechi leo kunanicost hii mechi
Guimaraes 0 - 0 Feirense inachana na hizi odd 40+ huku daaaah...
mkeka betKampuni gani hyo inaruhusu cash out wadau
Mkeka wangu karibia game zote zimekuwa postpd kasoro ya hawa wahuni na niliwaomba goli tatu...Lazio 0 - 1 Torino
hata leo ndicho kilisababisha nirudie but otion tofauti mfa lazio mkeka uliochanwa na maccabi nilimpa kipindi cha pili goli kuanzia goli moja.Kurudia Mimi mwnyw sipendagi.
Timu moja inaeza chafua sherehe ya mikeka yote.
Huwa narudia kwa kubadili formation ili mradi nsitoke relini.
1st half home double chance, home win either half, full time home win. Double chance home team win. Double chance either team.
Huwa nachezea hzo options nkiwaga na uwanja finyu wa kubet.
Lazio 1 - 2 TorinoMkeka wangu karibia game zote zimekuwa postpd kasoro ya hawa wahuni na niliwaomba goli tatu...
ngoja tuone kunaweza kuwa na comebackLazio keshagongwa 2:0.
Ligi ya Italia haitabiliki.
Yeyote anaeza kushinda.
Home team wins: 35%
Draws: 25
Away team wins : 30%
Daah afadhali kimepatikana kituLazio 1 - 2 Torino
Daah afadhali kimepatikana kitu