Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Lazio vs Torino ni derby
over 2.5 1st half ngumu aseeeOlympic Lyon keshanichania mkeka wa timu 3.
Nilimpa
Fortuna dusseldolf- loose or draw 1st half.
Shaffhausen-win full time
Lyon- over 2.5 1st half
View attachment 649102
Usjali mkuu.Dusseldorf 0 - 2 Nurnberg
mkuu inaonekana na wewe uko vizuri embu fanya mpango huwage unatupia mikeka walau miwili ya odd 10+
Hao waitalia sio wakuwaamini.Lazio 0 - 1 Torino
Olympic Lyon keshanichania mkeka wa timu 3.
Nilimpa
Fortuna dusseldolf- loose or draw 1st half.
Shaffhausen-win full time
Lyon- over 2.5 1st half
View attachment 649102
Majukumu mazito sana ulimpaOlympic Lyon keshanichania mkeka wa timu 3.
Nilimpa
Fortuna dusseldolf- loose or draw 1st half.
Shaffhausen-win full time
Lyon- over 2.5 1st half
View attachment 649102
naomba ututupie hapa timu tuokote asee mhindi ni wa motoHao waitalia sio wakuwaamini.
Game zao hazitabilikagi
hiyo keshonaomba ututupie hapa timu tuokote asee mhindi ni wa moto
hiyo ni over 1.5 half time ingekuwa over 2.5 odd zingefika 3+Olympic Lyon keshanichania mkeka wa timu 3.
Nilimpa
Fortuna dusseldolf- loose or draw 1st half.
Shaffhausen-win full time
Lyon- over 2.5 1st half
View attachment 649102
Mkuu ujue nakukubali sana.Takwimu hazidanganyi.
Kama nlivosema Fortuna dusseldolf hatabiriki.
Keshagongwa 2:0 dkk 80
Average league goals ni 2.35mkuu nililiona hilo but ndo mana nikaipa mechi over 0.5 second half
Pole sana.tumaini langu lote limebaki kwenye huu tu.
Pole sanaMkeka wangu karibia game zote zimekuwa postpd kasoro ya hawa wahuni na niliwaomba goli tatu...
Pole sana.[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]hata leo ndicho kilisababisha nirudie but otion tofauti mfa lazio mkeka uliochanwa na maccabi nilimpa kipindi cha pili goli kuanzia goli moja.
nimekuelewa mkuu, but na wewe pia uwe unajitahidi unatupia odds humAverage league goals ni 2.35
Na hiyo wanachangia sana wale wanne walioko On Top.
Wakubwa wanatoa dozi ya goli nyingi home and away.
Hao wengine wa chini ya msimamo scoring yao ni ya kusua sua.
Stricker zao butu sana, sio striker za kutoa magoli.
Kitakwimu hao wa chini ya 4 bora kwny msimamo wakikutana wao kwa wao mechi inaweza amuliwa na Matokeo ya first half.
Au wakatoka sare first half, afu mmoja akitanguliwa kufungwa ndo basi tena halirudi.
Tofauti na wale On top, wale ni ushindi HT na FT.
Au hata wakifungwa na timu ndogo lazima tu watachomoa na kushinda au sare.
Ongera sana Kama safar ya mkeka wako imekamilikaDaah afadhali kimepatikana kitu