Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kesho kuna ligi ya Scotland.

Naona muhindi
kazipendelea sana home teams ukilinganisha na hali halisi ya Ligi kuu Scotland

Ligi kuu Scotland timu nyingi zikiwa away huwa zinakomaa na zinatoa Matokeo sana kuliko zikiwa nyumbani.

Screenshot_20171212-015319.png
 
odds 2

Houston Rockets - New Orleans Pelicans
Houston Rockets
1.38

Oklahoma City Thunder - Charlotte Hornets
Oklahoma City Thunder
1.56

ALL WIN SECOND HALF
 
GSW katika mechi nne zilizopita tatu kashinda kipindi cha pili na moja tu kashinda kipindi cha kwanza odd 1.50 stake 80k
 
Jamani waungwana, nauliza yeyote anayefahamu kuhusu namna ya kupata machine za kubetia, faida na hasar zake anijuze, pamoja na bei,, ubora pia, nlihitaji nifany biashara hiyo.
 
odds 2

Houston Rockets - New Orleans Pelicans
Houston Rockets
1.38

Oklahoma City Thunder - Charlotte Hornets
Oklahoma City Thunder
1.56

ALL WIN SECOND HALF
OKC kaleta usenge GSW nina imani hatoniangusha.
 
Al Arabi Doha SC - Al Rayyan SC
Over 1.5 goals

PEC Zwolle - AZ Alkmaar
Over 1.5 goals

Go Ahead Eagles - Jong Psv Eindhoven
Over 1.5 goals

Dungannon FC - Crusaders Belfast
Over 1.5 goals

Exeter City - Forest Green Rovers
Over 1.5 goals

Odds:
2.06
 
Jana nilitengeneza mikeka hii,nikasema niiscreenshot nikiweka pesa niikumbuke nilipie,nikasahau kuulipia na yote imetoa.
Screenshot_20171211-165351.png
Screenshot_20171211-221445.png
 
Jamani waungwana, nauliza yeyote anayefahamu kuhusu namna ya kupata machine za kubetia, faida na hasar zake anijuze, pamoja na bei,, ubora pia, nlihitaji nifany biashara hiyo.
Kubetisha kwa mashine nsigependa kukushauri

Faida ni kidg sn ukizigatia mapinduz ya kubetia kwny cm hv sasa.
 
b84da8fdf89bd40919150792d817316e.jpg
mwenye ujuzi na hii issue wakuu anisaidie toka niifungue hii Acc sijafanikiwa kudeposit hela
 
Kwa mkeka hyo hapo juu unabet afu unaenda kuagiza balimi na kitu moto kwa mkopo.

Afu malipo ni uhakika after 24 hrs
 
Back
Top Bottom