Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Slip 1

Burnley win or draw
Chelsea win
Wigan win
Crusaders win

slip2

inter 3+
Jong Psv X2
Az Alkmaar X2
 
Pole sana mkuu.
Ulijitahidi sana kuupeleka mkeka.

Ushauri wangu: jaribu kupunguza wingi wa mechi.

Ningependelea uwe unatafuta timu 5 zitakazoleta odd 4 au 5 znatosha.

Kisha unatia Tsh 10,000+ inakua inatosha sana mkuu.
kikawaidfa huwa nakuwa na mikeka ya aina nyingi. huwa nakuwa na ya high odds, medium odds, na low odds. high odds huwa nacheza option ngum zenye odds walau kuanzia 1.7 kwa mechi. medium odds huwa nacheza mechi kuanzia sita kwa option nyepesi. low odd timu 2 hadi 6. kwa option za kati yani si ngum sana wala si nyepesi sana.

huwa namkalixa karibu kila siku. hata hivo mikeka ya jana kuna mmoja wa odds kumi umebaki unapumua vizuri coz kuna mechi zimeahirishwa.
 
Tia mpunga afu mpe Al Arouba.

Tahadhali:
usimpe mwanzo mwisho maana ligi ya Saudi a Arabia imekua ikitoa sare sana 1st half na magoli mengi yanaigia 2nd half
 
kikawaidfa huwa nakuwa na mikeka ya aina nyingi. huwa nakuwa na ya high odds, medium odds, na low odds. high odds huwa nacheza option ngum zenye odds walau kuanzia 1.7 kwa mechi. medium odds huwa nacheza mechi kuanzia sita kwa option nyepesi. low odd timu 2 hadi 6. kwa option za kati yani si ngum sana wala si nyepesi sana.

huwa namkalixa karibu kila siku. hata hivo mikeka ya jana kuna mmoja wa odds kumi umebaki unapumua vizuri coz kuna mechi zimeahirishwa.
Usiogope ukubwa wa Odds.

Jana watu humu nmewaambia wampe al duhail wakawa wanasita sita kwa kuogopa ukubwa wa odds.

Mechi imeisha Alduhail kashinda 9:0
 
kikawaidfa huwa nakuwa na mikeka ya aina nyingi. huwa nakuwa na ya high odds, medium odds, na low odds. high odds huwa nacheza option ngum zenye odds walau kuanzia 1.7 kwa mechi. medium odds huwa nacheza mechi kuanzia sita kwa option nyepesi. low odd timu 2 hadi 6. kwa option za kati yani si ngum sana wala si nyepesi sana.

huwa namkalixa karibu kila siku. hata hivo mikeka ya jana kuna mmoja wa odds kumi umebaki unapumua vizuri coz kuna mechi zimeahirishwa.
Kuna mkeka nmetupia humu una odd 5.6.

Hebu ufate Huo.

Hakika hutojutia
 
BETQUEEN:
BETQUEEN:
* :668K6ZM (Bet9ja)✍*
‍♀‍♀‍♀‍♀‍♀‍♀‍♀‍♀‍♀‍♀
*NIGHT PLAN 7PM✍*

8014 Challenge League
FC Schaffhausen - FC Wil 1900
*1 or Ov(2.5) 1.23*❇❇#booom

2999 2. Bundesliga
Fortuna Dusseldorf - Nurnberg
*Over(1.5) 1.19*❇❇
[HASHTAG]#boom[/HASHTAG]

1099 Ligue 2
Nimes - Clermont Foot
*1 or Ov(2.5) 1.25*❇❇
[HASHTAG]#booom[/HASHTAG]

8009 Superligaen
Randers - Midtjylland
*Yes 1.40 (Away Win Either Half)*❇❇
[HASHTAG]#booomweka[/HASHTAG]

1019 Primeira Liga
Vitoria Guimaraes - CD Feirense
*Home 1-3 Goals 1.23*❇❇
[HASHTAG]#booom[/HASHTAG]

3693 Serie A
Lazio - Torino
*2-5 Goals 1.28*❇❇
[HASHTAG]#boooooom[/HASHTAG]

*★Odd 4★*❇❇won❇❇❇

Polekamaukuiona.leonayosiku
 
Kwa wale waoga.

Mkeka huo apo chini.
Piga ua garagaza hapa muhindi lazima aliwe.

2017-12-12-10-22-43.jpg
 
kikawaidfa huwa nakuwa na mikeka ya aina nyingi. huwa nakuwa na ya high odds, medium odds, na low odds. high odds huwa nacheza option ngum zenye odds walau kuanzia 1.7 kwa mechi. medium odds huwa nacheza mechi kuanzia sita kwa option nyepesi. low odd timu 2 hadi 6. kwa option za kati yani si ngum sana wala si nyepesi sana.

huwa namkalixa karibu kila siku. hata hivo mikeka ya jana kuna mmoja wa odds kumi umebaki unapumua vizuri coz kuna mechi zimeahirishwa.
tupe bc ya leo tujimwaemwae
 
Back
Top Bottom