Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mwingine hapo chini.
Fuata nyuki ule asali
Screenshot_20171212-085731.png
 
Tahadhali!

Leo hizo ligi pendwa zinaweza zisitoe Matokeo.

Nendeleni ligi ya Qatar na nyinginezo zisizo umaarufu.

Odd wanabana sana kwny ligi maarufu matokeo yake hayaeleweki.

Trust me
 
Back
Top Bottom