Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

4d029eda4990167ade5fcf31ed7d0a6d.jpg

ed693502f43e87b94394608738efbfc1.jpg

.
.
710ac09e70823cc61b324694b05a9bc0.jpg

.
.
8abdcffc791e4530b15583977cafdf4a.jpg

80ccda9430abc2e2e3ac759cde9251d1.jpg

.
.
fa0982f38f7f120346077f1709c90085.jpg

e8459963b1d166d769b42fe673a7126e.jpg

.
.
Ukifanya uchaguzi mzuri huezi kosa odds za kutosha na za uhakika....ukiweka tano tano uhakika zaidi.
Good luck.
pamojaaa
 
Watufutaji wenzangu...
Siku hizi odds za 1.. sizichezi ni odd 2.5 kwenda mbelee hamna kitu kinachokera kama kuLost kwa odd 1.2 au 1.17 .. kuBet ni bahati siku hizi ni odds 3 kwa kila mechi...
nakumbuka sana mkeka wangu wa timu 8 ulivyo kuwa na odds za 2.5+ ulivyo kua kidogo nigonge 4M kwa tumu moja kutika sare ya 1-1 hizo odds ukiziotea muhindi lazima anyoe ndevu
 
european handcap 2:0 mnakua na maana gani?
Home team imepewa goli mbili kabla ya mechi.

Kwa matokeo yoyote Yale home team itaongezewa goli 2.

MF: home team
Ikishinda ushnd wowote-umekula

Ikitoa sare yoyote - umekula

Ikipigwa kwa tofauti ya goli 1 bado umekula.


Hapo mchawi labda atokee ipigwe kwa tofauti ya goli 2 na kuendelea ndo unakua umeliwa.
Kw MF, 0:2, 0:4, 1: 4
 
upload_2017-12-12_11-56-7.png
total odd 27+

NB: unaweza kuukata mara tatu. ukiukata mara tatu unapata mikeka ya timu tano mitatu kila mkeka utakuwa na odds 3+
 
Watufutaji wenzangu...
Siku hizi odds za 1.. sizichezi ni odd 2.5 kwenda mbelee hamna kitu kinachokera kama kuLost kwa odd 1.2 au 1.17 .. kuBet ni bahati siku hizi ni odds 3 kwa kila mechi...
mkeka wenyewe ulikua huu hapa odds 500 mara elfu 8 kama stake niliokua nineweka
IMG_20171212_121316_549.JPG
 
Home team imepewa goli mbili kabla ya mechi.

Kwa matokeo yoyote Yale home team itaongezewa goli 2.

MF: home team
Ikishinda ushnd wowote-umekula

Ikitoa sare yoyote - umekula

Ikipigwa kwa tofauti ya goli 1 bado umekula.


Hapo mchawi labda atokee ipigwe kwa tofauti ya goli 2 na kuendelea ndo unakua umeliwa.
Kw MF, 0:2, 0:4, 1: 4
daah inaonekana nzuri sana lakini kichwa changu bado kigumu kuelewa!! mfano european handcap 0:2 hapo naifafanua vp mkuu
 
[12/12, 10:28] Btn Nigeria: NET2
*Jong Ajax Vs Den Bosch*
Tip: OVER 2.5 *POS*

SWI
*Schaffhausen Vs Wil*
Tip: 1 [HASHTAG]#BOOOOM[/HASHTAG]

NET2
*Jong AZ Vs Cambuur*
Tip: GG *POS*
[12/12, 10:39] Btn Nigeria: DEN
*Randers FC Vs Midtjylland*
Tip: 2 [HASHTAG]#BOOOOM[/HASHTAG]

CYP
*Omonia Vs Apollon*
Tip: OVER 1.5

IRAN
*Persepolis Vs Sanat Naft*
Tip: 1 [HASHTAG]#BOOOOM[/HASHTAG]

RUS
*FC Akhmat Grozny vs FC Zenit St Petersburg*
Tip: X2. [HASHTAG]#BOOOOOM[/HASHTAG]
 
daah inaonekana nzuri sana lakini kichwa changu bado kigumu kuelewa!! mfano european handcap 0:2 hapo naifafanua vp mkuu
geuza hayo maelezo aliyokupa jamaa uyaweke kwa a way team.
yani kama man cit na man u walitoka 1-2
kwa hiyo handcup ingesomeka hivi
man u 1 man cit 4 kwa sabab tayari man cit aliingia akiwa amepewa magoli mawili nadhan ni hivyo kama sijakosea
 
Back
Top Bottom