Hyo siku nlkula pesa.
Nlimbeba man utd na goli 2-
Kwa sababu, nljua itakua tough game na yeyote anawz kushinda ukzingatia man utd tokea ligi ilpoanza aliruhusu goli 1 tu old Trafford na kufunga goli 20.
Na kwny msimamo wa Best defence team, man utd ameongoza.
Pia man city kabla ya game ya man utd Amekua akistruggle sana kupata matokeo away tofauti na siku za nyuma.
Afu nkabet 0ver 8.5 corners full time
Kwa sababu man utd Amekua akitumia sana winga kupiga sn cross kutafta matokeo.
Na kwny msimamo wa Best Team with most Crosses, man utd ameongoza.
Na mungu saidia zilitoka kona 10.
IKAWA BET won.
Ikiambatana na Arsenal- to win in either half
(aliongoza 0:1 second half)
Pia game ya Liver, nlimbeba Everton na goli 3 kwa tahadhali.
(Game ikiisha 1:1)
Pia game ya malaga, nae nlimbeba na goli 2 kwa tahadhali.
(Game ikaisha malaga kawin 2:0)
Pia game ya athletico M na goli 1.
(Game ikaisha amewin 1:0)