JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
Forebet ni wahuni...Betting apps nyingi duniani sponsors wake ni hizo hizo kampuni za kubetisha.
Na Wenye kampuni za kubetisha, wewe ukiliwa kwao ndio furaha.
Usitegemee sana kwamba watakupa Tips za pesa ili ukawatie hasara wazamini wao.
Nchini Uingereza Wengi wameipigia sana kelele kampuni ya Forebet kwa kutoa Tips za uwongo kwa sababu ya rushwa pamoja na donge nono LA udhamini wanalopewa na Bet365 sports.
****Be careful with those tips****