Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

DARMIAN MKUU HIZI ZOTE WON ZIPO HUMU HUNA NYOTA TU YA USHINDI...MHINDI AWEZI NIPA TIPS ZAUSHINDI NIKULETEE UKAMFILISI...NAELEWA MAJONZI YAKO MUDA SIMREFU TUTAUATUA KIJANAAÀ ACHA AKUKULE KULE KWANZA KWA MATUSIYAKO ALAFU URUDISHE HESHIMAView attachment 649442 View attachment 649443 View attachment 649445 View attachment 649446 View attachment 649447 View attachment 649448 View attachment 649449
Inatosha sana mkuu, nadhani amekuelewa na sasa na keshaamini tayari.

Yamekwisha, kilichobaki kwa umoja wetu tushirikiane kwa pamoja.

Maana sisi wengine ndo tumejiajiri rasmi kwenye ajira ya kubet.

12yrs experience in betting industry sio haba.

Kwahyo kua na watu Wenye upeo and honest km wewe ni advantage sn kwenye hii industry
 
15odds
*bet9ja*

1275 Premier Lea
Huddersf - Chelsea
2 1.45

1273 Premier Lea
Burnley - Stoke City
1X 1.28

8633 FA Cup
Wigan - AFC Fylde
Over(2.5) 1.53

8637 FA Cup
Peterboro - Woking
1 1.38

2023 Isthmian Foot
Folkestone - Worthing
Over(2.5) 1.40

9964 Turkiye Kup
Manisas - Besiktas
2 1.32

9958 Turkiye Kup
SBelediye - Galatasa
Over(2.5) 1.47

5399 Coupe de la
Monaco - Caen
1 1.47

*Odd 15.65*
*Amount ₦5,500*
*Bonus 17,213.84*
*Potential winning 103,283.05*
*Booking Number: 66CCXV2*

Money must be made
 
Poleni sana mliompa Kasimpasa.

Keshagongwa 2:1

Kuna mtu alinibishia humu.

Takwimu hazidanganyi.

Kasimpasa kwa game za away ni kimeo.

Kasimpasa Amekua akiishiwa sana pumzi 2nd half.

Amekua akijitahidi kukomaa sana first half, lakini 2nd half ni mdebwedo.

Amekua akiburuza mkia kwa game zake za away kutokana na msimamo wa away matches
Screenshot_20171212-174457.png
Screenshot_20171212-174133.png
 

Attachments

  • Screenshot_20171212-174457.png
    Screenshot_20171212-174457.png
    60.1 KB · Views: 35
Natumia princess bet.

Unadeposit simple kwa tigo/mpesa fasta dkk1 ishasoma.

Ukiwin mechi zikiisha haiwezi pita dkk 5 salio halijasoma.

Unabet uku unachat na wahudumu wao live, kama unakitu kinakutatza unauliza pale pale.

Na wahudumu wako very panctual and friendly.

Hamna maswala ya kupiga Piga cm wala nn.

Wako online 24 hrs.
mkuu nipe namba ya kudeposit na kumbukumbu namba
 
Tusiogope odds, twende na hii
 

Attachments

  • Screenshot_20171212-153559.jpg
    Screenshot_20171212-153559.jpg
    42.5 KB · Views: 30
DATE:. 12-12-2017


1. Burnley vs Stoke City
ENGLAND
Tips 1X & UNDER 4.5 @1.40

2. PEC Zwolle vs AZ Alkmaar
NETHERLAND
Tips 2X & UNDER 4.5 @ 1.70


TOTAL ODD = 2.35
BET9JA CODE 66FLTP6
 
DATE:. 12-12-2017


1. Burnley vs Stoke City
ENGLAND
Tips 1X & UNDER 4.5 @1.40

2. PEC Zwolle vs AZ Alkmaar
NETHERLAND
Tips 2X & UNDER 4.5 @ 1.70


TOTAL ODD = 2.35
BET9JA CODE 66FLTP6



Hii nimeielewa Chief, naichukua !
 
Back
Top Bottom