Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nauliza kwenye meridian je kuna option ya sare kipindi cha kwanza?
 
leon.png
hapo vp wadau
 
Jana almanusura muhindi akae uchi ningempa madrid ashinde vuvuzela sa hv ningekuwa nacheka hata kazin leo nisingeenda anyway time will tell makali ya zamani yatarudi tu,,ImageUploadedByJamiiForums1424332733.638499.jpg
 
sasa hivi wadau nimeamua kufata ushauri wenu naweka timu zangu 4 au 5 za uhakika natupia la 10 mungu akijaalia mambo yanakuwa mazuri.
 
LIVERPOOL 1.52 WIN
TOTTENHAM 1.98 WIN
VFL WOLFSBURG 1.52 WIN
SEVILLA 1.79 WIN
Hapo vip wadau?nipen ushaur
 
Jana almanusura muhindi akae uchi ningempa madrid ashinde vuvuzela sa hv ningekuwa nacheka hata kazin leo nisingeenda anyway time will tell makali ya zamani yatarudi tu,,View attachment 227837

Baada yakumkosa au ungefanikiwa ndio unaleta lakini wakati wa kucheza ulishindwa kushirikisha watu ukihisi watafaidi. UbiNAFSI UbiNAFSI UbiNAFSI.
 
Last edited by a moderator:
2+.png
namaliza hivo kwa leo
ila nawaza kumpa
villarreal 1.58
liver 1.55
wolfburg 1.57

odds zinaleta 3.85.....
 
Baada yakumkosa au ungefanikiwa ndio unaleta lakini wakati wa kucheza ulishindwa kushirikisha watu ukihisi watafaidi. UbiNAFSI UbiNAFSI UbiNAFSI.
kwel kabisa tuweke mikeka ikiwa bado hai ili wadau wengne nao waweze kuchangia hapo km ungeweka hazaran wapo ambao wange kushaur
 
Last edited by a moderator:
Leo DRAW kama nyingi hivi
Ajax 1X
Tottenham 1X
Roma 1X
Villareal 1X
Wolfsburg 1X
Sevilla 1X
Olympiacos 2X
Napoli 2X
 
Baada yakumkosa au ungefanikiwa ndio unaleta lakini wakati wa kucheza ulishindwa kushirikisha watu ukihisi watafaidi. UbiNAFSI UbiNAFSI UbiNAFSI.

Huo mkeka wa njaa mkuu si unaona stake yenyewe iliyowekwa sure betting nitakuwa naeka mana ukisema uweke mikeka yote wengine tunatoa hata mikeka 10 sometimes, pia kuna siku unakuwa hujielewi unaamua kukausha tu maisha yaende
 
Last edited by a moderator:
dnipro,aab,torino,trabzonspor na young boys..odd 33...hint 28+
 
Game ya liver na besiktas ina niumiza kichwa! Nawaza kumuua liva wakuu.. Anyway ngoja niingie mbet niweke hivi.. Club bruge win olympiacos win young boys win psv win besiktas win... Kama dakika hazitaisha nataka kumwongeza na wolfsburg...
 
Liverpool goal both halves
anderlecht gg
van berwen win(dart)
 
Back
Top Bottom