Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ImageUploadedByJamiiForums1424273028.780265.jpghuyu mwehu kankosesha pesa ndefu
 
jana kanipiga muhindi ila leo mapema nimerudisha hela kwa sporting convilha win ,sporting lisbon B win
 
Kuna kitu sijakuelewa katika hii thread , sidhani kama ni busara mtu kuja kutoa matokeo kama amewin bet.

Itakua ni vizuri sana watu wakipost mikeka yao b4 match ili name wengine wapate mawazo. Ukija na style anti Jana nimekula kwa mhindi haimake sense ni bora uka kaa kimya. Nasema hivyo sababu wengi wetu humu tunaweza kuwa name mtaji ila muda wa kufanya analysis unakosekana.
Please wekeni mikeka ili thread ikue.
 
Me nilikuwa naweka nikaishia kupondwa
 
Me nilikuwa naweka nikaishia kupondwa

Nooo... unaweka tu sababu hii ni investment kwenye bahati nasibu. Ukikosa pia its fine lakini ukipata pia kuna wengine watapata.

Na ukikosa unarudi kutoa feedback pia
 
mfumo.png

haka kamfumo ni kazuri ila ni hatari....kazuri sababu mechi nyingi kipindi cha kwanza zinakuwa ngumu....hatari coz mtu akipigwa ndani ya dakika 15 za kwanza goli la pili mara nyingi linapatikana....
 
Mhhh! nina mashaka na unachokisema.

Me nina ucbtsho wa nnacho kisema,nmesha wah kutengeneza mkeka wa timu8 na ukatoka lkn pia kuna jamaa yangu alitengeneza mkeka wa tmu12 wenyewe tulikuwa tuna mcheka kwamba hapo amesha liwa lkn mwisho wa cku ukatoka na akapga 1.7 km masihala vle
 
Kuna kitu sijakuelewa katika hii thread , sidhani kama ni busara mtu kuja kutoa matokeo kama amewin bet.

Itakua ni vizuri sana watu wakipost mikeka yao b4 match ili name wengine wapate mawazo. Ukija na style anti Jana nimekula kwa mhindi haimake sense ni bora uka kaa kimya. Nasema hivyo sababu wengi wetu humu tunaweza kuwa name mtaji ila muda wa kufanya analysis unakosekana.
Please wekeni mikeka ili thread ikue.

Mkuu mawazo ya kushilkiana n mazur sn na huwa yana %kubwa ya kushinda
 
View attachment 227796

haka kamfumo ni kazuri ila ni hatari....kazuri sababu mechi nyingi kipindi cha kwanza zinakuwa ngumu....hatari coz mtu akipigwa ndani ya dakika 15 za kwanza goli la pili mara nyingi linapatikana....

oyooo mhindi kafa .. ila mtoto wa nzi ungeutoa mkeka mapema kabla haujashinda tungemla wote.....otherwise hongerA mkuu
 
mkuu nimecapture sehemu ndogo....ningecapture mpaka chini.....ungeona mda..... huu nimeucheza saa7 na dakika 7 usiku.....mara zote nawekaga mkuu...... kutoka na mda niliocheza ilikua ngumu kuupostred.png
 
Nataka kuingia rasmi kwenye huu mchezo. Naombeni mnipe important hints za jinsi ya kushiriki.
 
hoki.png
hockey magoli yasizidi sita....nimemuotea tena ni game za usiku sana.... nilishafilisika....nkasema niende likizo.....usiiiiku ndio nkasema acha niliwe kabisa hii 7000 iliyobaki ndio nkaweka 5000 ule wa soka 2000 huku....afu yote imetiki .....asante kamtaji kamefika 28,000 faida 21,000....kwa 7,000
 
Back
Top Bottom