Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Sijui tutumie mbinu gani maaana hizi timu zazingua kichizi yaani ni zaidi ya uchizi wenyewe
mkuu kuanzia siku ya alhamisi, kama unatumia meridian bet, huwa wanatoa fixture kuanzia friday mpaka monday.
Je kwa mbinu hii mtu huwezi changanya timu angalau ukusanye odds 100 then ukatie 3000 na ukala?..
Hapa huwa naumiza kichwa inawezaekanaje majeshi yote kuanzia friday to sunday yazingue?.. dah
cc Deo Corleone Raimundo MNYISANZU jem_the_great Rockcity native na wengineo kwa maoni zaidi na ushauri.
Huyu jamaa kweli hawezi pangika kwa kila wiki angalau aliwe 300k? dah nina hamu nae kishenzi...
Last edited by a moderator:

