Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hand-cup Via MBET leo nimeweka huu

liverpoo vs+totenahm
Liverpool win 3.09
Liverpool draw 3.52
Liverpool lose 1.69
AF Bournemouth vs +Derby contry
win 4,02
Sunderland vs + QPR
Sun win 3.62

Kaka naomba unieleweshe juu ya handcap ya mbet mana siielewi kabisaa..
 
Mpira wa Italy umetawalia na kamali Sana..sikutegemea kabisa kama Roma atatuua Leo..but anyway ngoja tujipange next fixture..

Daaah... ni kweli aiseeh,, hadi Juve kanifanya hivi...!? NACHUKUA LIKIZO YA MASAA 36,, NIKIRUDI MUHINDI NA MZUNGU WATANILIPA PESA ZANGU... NO TREAT NO SURRENDER.. BEST LUCKY WAKUU
 
juve,atletico na Lyon sitakaa niwaweke awa washenzi.
hapana mkuu juve na atletico wapo vizur sema jana mpira umewakataa tu..ukiangalia upande wa atletico jana key players wake wa tatu wa first eleven hawakucheza..nafikr nayo n sababu iliyowafanya wapoteze..ila upande wa lyon sikushaur sana uwe unawaamin
 
Hivi hiyo bet ya red card ipo m-bet?

Mkuu hawa m-bet wana option nyingi mno kiasi kwamba nyingine nadhani huwa tunashindwa kuzijua..

Hiyo option ya red card ipo sana kuna mtu alishawahi kunisimulia!

Jana usiku nili log in kwenye account yangu, baadae nikawa naangalia option zilizokuwa pale kwenye timu! Aisee mpaka nimeshangaa zilivyo nyingi.

Tatizo letu ni kutandaza mkeka wenye timu zaidi ya 12 tukitaka kula milioni 2+...
 
M-bet au meridian bet? Coz ni kampuni mbili tofauti.
 
Ili kuzielewa vizur betting tips za meridian ingia kwenye website yao..then ingia help..utaletewa betting tips za michezo yote
 
LEo nIpO jUkWaaa la WaPamBAnaji. Uwwwiiiiwii! ni sHiDa Hapa kWenye BEttiNg.
NiPeni MauJanJa jamani lEo niiNgiZe mIllIon bIla JasHooooo. UwwwwwwwIiii ni shiDaaaaa.
 
Back
Top Bottom