Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Upo kaka!! Umeadimika MMU!!

Sure tusipoangalia tutapigwa tu

kaka nipo sana! nabanwa na mishe fulani hivi...

ebana mi nambetia sana mzungu! huwa nachukua fixture ya wiki nzima pale tiptop manzese! ..dah

Basi option zangu huwa nalazimisha timu 6 za 1 & GG au 2 & GG! hapo utakuta option 3.59 mpaka 4.50!!!

kati ya timu 6 unakuta inaharibu moja....
 
3.5 mkuu...

kwa normal tu mkuu?

Unajua muhindi anabana sana kutoa odds aisee!

unaweza kuta 1.04 kwa barca kwa premier betting lakini ukiingia meridian bet unakuta barca kapewa 1.22!

so kama unaweza ni heri ukahamia kwa mzungu kidogo! hizo odds zinaweza fika mpaka 5.0 kwa game hizo hizo!
 
Hamna bana nimeafikiri nimeona nirudi tu.
Mechi mbili mwisho kuanzia leo mambo ya kuweka mkeka hapana ni kujiua.

Kweli kaka,

Timu2 hata ukipata odd1.6 ni bora kuliko odd40 zisizo na uhakikas
 
Ningeshangaa! Usirudii!

Mkuu hebu nipe ufafanuzi juu ya acc ya Bet365, nitumie bank gani, na withdraw inachukua siku ngapi?

Hawana usumbufu?

Meridian wameshanichosha aisee, live game hasa Basket ni nzuri sana Bet365!
 
Ndugu mteja muamala wako transferId umefanyika kikamilifu. Tiketi #189252 .Ya kuuzwa 2015-02-14 18:55:04.Dau: 50,000.00 Tsh. Uwezekano wa kushinda: 246,441.10 Tsh.HER lose:1.42,CRY lose:1.95,WAA lose:1.78,seti #82K .

kuliwa kuliwa tu hata uweke moja....
liverpool kortijk na fayernood....timu 3 za uhakika na nimepigwa.....KULIWA KULOWA TU
 
Yap yap nimekaa jana usiku nimefikiri kuna watu wanakula hela sana wao hawaweki mikeka mirefu odds mwisho kumi au 3 afu wanaweka pounds zakutosha
Ukipata hata Chelsea
Mau U na Barca na Real hapo odds lazima zitakuwa 2... ukiweka kamilioni unepata faida ya milioni.

Yaani mkuu Fanya hivyo...possibility ya Ku lose inakuwa ndogo..

Nimeamua kurudi tena bet365 ndo yanihusu na dollar hawa meridian wabadili mtandao wao
 
cha msingi kutokata tamaa afu usiweke dau lililo nje ha uwezo wako....na timu nne tu mpka sita... mi walinipiga laki na 80...nlikua naeka elf kumi kumi....ila kuna siku nkakasirika nkaseme leo achukue tu hii 20000 matokeo yake nkashinda laki 4......
 
Ningeshangaa! Usirudii!

Mkuu hebu nipe ufafanuzi juu ya acc ya Bet365, nitumie bank gani, na withdraw inachukua siku ngapi?

Hawana usumbufu?

Meridian wameshanichosha aisee, live game hasa Basket ni nzuri sana Bet365!

Huwa inachukua siku 3 ambazo ni za kazi unapata hela yako, wanadai ni sababu ya international transfer ndo maana siku tatu kwa wanaoishi UK ni siku hiyo hyo.

Usumbufu hawana kama utakamilisha KYC... Know Your Customer ambapo utatakiwa kuwatumia Passport na Licence au ID Card yoyote ile ikionesha same details kama Passport.
Hii hukamilika baada ya week nzima kwani wanafanyia verification. Hii KYC ni kama wataka withdraw ndo watakuambia ukamilishe ukisha kamilisha tu basi hawatakusumbua tena wewe ukishinda tu unatoa hela yako.

Site yao iko fast sana na wameiongezea siku hizi kwenye mkeka wako kadri timu zinavyocheza unaweza ona timu gani inaharibu kwani wanakuwekea live game kwenye mkeka ukionesha goals etc.

Wana cashout. Yaani mfano umeweka timu tisa na nane zimeshinda tayari hyo ya tisa unaona kama itaharibu waweza toa hela yako
 
Wakuu mshafikiria kumuua juve, a.madrid au Lyon japo kwa half time only.
Mi na dili na Juve na athletic madrid leo wafe kipindi cha kwanza na tia 20,000/=

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ona huyu jamaa alivyojitoa akili kwa UEFA kesho kutwa
 
Attachments

  • 1423984122586.jpg
    1423984122586.jpg
    8.3 KB · Views: 141
Huwa inachukua siku 3 ambazo ni za kazi unapata hela yako, wanadai ni sababu ya international transfer ndo maana siku tatu kwa wanaoishi UK ni siku hiyo hyo.

Usumbufu hawana kama utakamilisha KYC... Know Your Customer ambapo utatakiwa kuwatumia Passport na Licence au ID Card yoyote ile ikionesha same details kama Passport.
Hii hukamilika baada ya week nzima kwani wanafanyia verification. Hii KYC ni kama wataka withdraw ndo watakuambia ukamilishe ukisha kamilisha tu basi hawatakusumbua tena wewe ukishinda tu unatoa hela yako.

Site yao iko fast sana na wameiongezea siku hizi kwenye mkeka wako kadri timu zinavyocheza unaweza ona timu gani inaharibu kwani wanakuwekea live game kwenye mkeka ukionesha goals etc.

Wana cashout. Yaani mfano umeweka timu tisa na nane zimeshinda tayari hyo ya tisa unaona kama itaharibu waweza toa hela yako

Hapo kwenye passport patanichelewesha, maana sina passport.

Hakuna ID nyingine inayoweza kutumika kama alternative to passport?
 
Ndugu mteja muamala wako transferId umefanyika kikamilifu. Tiketi #189252 .Ya kuuzwa 2015-02-14 18:55:04.Dau: 50,000.00 Tsh. Uwezekano wa kushinda: 246,441.10 Tsh.HER lose:1.42,CRY lose:1.95,WAA lose:1.78,seti #82K .

kuliwa kuliwa tu hata uweke moja....
liverpool kortijk na fayernood....timu 3 za uhakika na nimepigwa.....KULIWA KULOWA TU

Pole sana mkuu ndo mpira ulivyo, timu ndo zatuangusha sana kama jana Derby tulivyomuamini, hatukutegemea angejitakia red card ili afungwe
 
Back
Top Bottom