Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chagua mechi zako 5, then ziwekee no red card zote. ..kwa buku 7000
Mpaka sahizi nshampiga mhindi. Kwa mwendo huu huu.
Hata mimi,nipo m-betHii ya red card inakuwa ktk set gan ya mkeka wakuu..naomba kufahamishwa?
Hand-cup Via MBET leo nimeweka huu
liverpoo vs+totenahm
Liverpool win 3.09
Liverpool draw 3.52
Liverpool lose 1.69
AF Bournemouth vs +Derby contry
win 4,02
Sunderland vs + QPR
Sun win 3.62
Mpira wa Italy umetawalia na kamali Sana..sikutegemea kabisa kama Roma atatuua Leo..but anyway ngoja tujipange next fixture..
Roma
Anderlecht kaua wengi mimi mmoja wao. Ila sikati tamaa hadi siku moja itiki
hapana mkuu juve na atletico wapo vizur sema jana mpira umewakataa tu..ukiangalia upande wa atletico jana key players wake wa tatu wa first eleven hawakucheza..nafikr nayo n sababu iliyowafanya wapoteze..ila upande wa lyon sikushaur sana uwe unawaaminjuve,atletico na Lyon sitakaa niwaweke awa washenzi.
Roma
Anderlecht kaua wengi mimi mmoja wao. Ila sikati tamaa hadi siku moja itiki
Hivi hiyo bet ya red card ipo m-bet?
Mkuu hawa m-bet wana option nyingi mno kiasi kwamba nyingine nadhani huwa tunashindwa kuzijua..
Hiyo option ya red card ipo sana kuna mtu alishawahi kunisimulia!
Jana usiku nili log in kwenye account yangu, baadae nikawa naangalia option zilizokuwa pale kwenye timu! Aisee mpaka nimeshangaa zilivyo nyingi.
Tatizo letu ni kutandaza mkeka wenye timu zaidi ya 12 tukitaka kula milioni 2+...
huyu jamaa alitisha jana aisee!
mimi nilimpa H1+ basi nikapotea....
waliokuja kuua ni wengine hukoooo
kama mimi mkuu