Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Wakuu mpo poleni sana na Kazi, Mwenzenu nipo mambo mengi Mungu awe nanyi.
Nasubiri mwaka uishe nianze upya.
Nasubiri mwaka uishe nianze upya.
Ilemi hatawewe unaweza join..fungus jf via chrome then bonyeza hioo linkukijoin nipm bc mkuu
hiyo V.I.P mkuuIlemi hatawewe unaweza join..fungus jf via chrome then bonyeza hioo link
Sio mbaya lakini, jana ilkua siku nzuri.Teh Teh woga wko umskini wako yani ningeji risk taker ningetia lak ingetoka million 2+
Sio mbaya lakini, jana ilkua siku nzuri.
Leo nayo siku.
Natulia sana kutafta mechi 5 za pesa.
Mungu akijalia leo nikala.
Ntakua nimemla wiki nzima mfurulizo mikeka 2+ kwa siku.
Maana tokea J3 ya last week, nmemla Non stop, isipokua hyo J3 ndo nlimla mkeka 1 tu.
Shukrani.FK Spartak Subotica vs
Vojvodina.
Moja ya expert wa betting kaongea maneno haya.
This 3 points are crucial for the
host side to get in order to keep
competing a promessing spot in the
league at the end they base their
succes in home games where they
should get the most positive results by the end of the league I don’t see
them letting any point go I expect
the host side to play very organize
and win this game tonight it should
be an open game but I am sure the
host side will be able to handle the preassure from their opponents and
win this game tonight wich odds
have a lot of value.
Na mimi hapa najiongeza kwa option ya 1/2 hakika itapendeza.