Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2017-12-12_20-14-14.png
odd 27+ mpaka hapa naweza sema bet won, coz hiyo mechi moja imehairishwa
 
Mkuu deepond,troublemaker, pdidy utaalamu wenu unahitajika sana mimi ningeomba sana msaada katika kuwa mnatuposti timu za double chance
 
Mkuu deepond,troublemaker, pdidy utaalamu wenu unahitajika sana mimi ningeomba sana msaada katika kuwa mnatuposti timu za double chance
mkuu timu za double chance kuzipata humu mbona ni rahisi kwa mfano huyo trouble Maker akiweka mkeka wake amezipa timu fulani ushindi wewe zigeuze hizo timu uzipe double chance na mchezo unakua umeishia hapo
 
Betting inachangia kwa kiasi kikubwa sana kwa sisi wanaume kuwa na upungufu wa nguvu za kiume. Timu 7 zimetoa matokeo lakini wa mwisho unayemsubiri (Port Vale) achomoe goli ili mpunga uingie ndio anapigwa red card 2
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom