TAHADHALI
wakuu Belgium kuna hii game ya Club Brudge vs Charleroi
Brudge kapewa Odds 1.5 wakati Charleroi kapewa Odds 6.13
Hii ni mechi ya robot fainali kombe LA ubelgiji
HAWA jamaa Charleroi wanaonekana wako fit sana msimu huu uko ubelgiji.
Kwenye msimamo wa ligi wako nafasi ya 2 nyuma ya Brugge anaongoza ligi.
Huyu Charleroi last week katoka kumkalisha Anderletch goli 3:1
Kwenye msimamo wa away matches kwny ligi, Charleroi anaongoza na kupoteza mechi 1 tu tokea msimu umeanza.
Amekua form sana hv karibuni, hasa mechi zake last 5 alzokutana na vigogo wa ligi ya Belgium.
Nnaamini leo atakaza sana maana hili kombe ana njaa nalo haswa.
Ukitizama hatua zote alzopita mpk kufkia hatua hii alikua akitoa matokeo ya kuridhisha.
Ushauri:
mpe Charleroi goli 2 kibindoni kwny handcap- 1.55 odds
Kwanini nasema hivo:
-Akipigwa kwa goal difference ya goli 1- umekula
-Akitoa sare-umekula
-Akishinda-umekula.
Check takwimu zake hapa chini
View attachment 650003View attachment 650004View attachment 650005View attachment 650006