India hao aizawil Naona ligi yao bado mbichi sana.PESAAA HIOOOHAPOOO TENAAA
OTHER KUANZIA MAGOLI 5+
*India*
Aizawl FC - Churchill Brothers SC
*Over(2.5) 2.08*
Aizawl FC - Churchill Brothers SC
*4-5 Goals 4.35*
*5-6 Goals 8.50*
Aizawl FC - Churchill Brothers SC
*Other 14.25*
Aizawl FC - Churchill Brothers SC
*3-5 Goals 2.08*
9:30am
*Don't say u didn't see it....*
Tuko pamoja.Na mimi niliiona hivyo mkuu DeepPond nikijumuisha na uchambuzi wako mujarabu naichukua hivyo hivyo.
kinaitwaje maana na mimi nina kitimu hukoNimepata kitimu cha India nakipa over 1.5 kimegoma kutoa hata goli moja kweli undugu ni kufaana Mhindi hawezi kumuua mwenzake. [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Deep pond naomba jina LA hii live score!!!Wakuu
EPL kuna hii game ya Southampton vs Leicester city.
Usisahau kubet corners.
Weka over 8.5 corners full time.
Katika game 10 zlizopita alzocheza Leicester city home and away zimeshuhudia wastani wa corner 12.5 per match
Huku akitoa corner over 8.5 mechi 9 kati ya 10 alizocheza.
Pia Southampton nae anawastani wa kona 10.76 kwa kila mechi.
Pia soton ametoa Over 8.5 corners mechi 5 mfururizo.
Hii ni kwa sababu timu zote mbili zinacheza sana counter attacks kwa kutumia wing forwards.
Pia timu zote msimu huu Zuma avarage ya ball possessions isiyozd 65%. Hivo kutokua na mda sana wa kukaa na mpira.
S'ampton- 59% per match
Leicester-56% per match
View attachment 650068
Pole chief...na mimi wamenikosesha mpunga...halafu hisia zangu zilikataza kabisa nisiwaweke...Mainz wajinga sana wanakosa
kutoa gg dadek wakaenda na pesa
Yang