Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

OK mkuu nilishaelewa ile mambo ila huu mkeka nina wasi wasi fernebache anaweza haribu hapo au unasemaje


Kweli hii mechi Fenerbahce anaweza akazingua (kwa kuchezesha wachezaji wa Team B), first leg alishinda 0-6


upload_2017-12-13_16-16-56.png


Hapa ndo ukiskia kale ka msemo "akili za kuambiwa, changanya na ..." ... nawapa Over 1.5 japo ka odd katakuwa kadogo
 
Zimepatikana odds 2.62


upload_2017-12-13_16-37-15.png


Kwa kuwa game ya kwanza inaanza saa 2 na nusu usiku, ngoja nisubiri subiri km kunatuwa na ushauri. Ikifika saa 2 na robo sijapata ushauri wowote, najitosa.
 
Cukaricki vs Rad Beograd.
Expert wa betting ana maoni haya kuhusu hii mechi.

Serbia super league mathc betwen
the teams on Cukaricki and Rad.
in this match we place the bet on
the home winner by handicap cover
and my call is 2:0 3:0 win for
Cukaricki. the road team is a team with 4 wins
2 draws and 15 loses the team is
with bad form at last and coming
since four defeats in the last five
matchs.
At the home side performance is a good for a trust to win with more
goals.
The last matches the team on
Cukaricki is a team with 2 wins 1
drw and the season is 5th team
now.

Hapa najiongeza na DC
 
Cukaricki vs Rad Beograd.
Expert wa betting ana maoni haya kuhusu hii mechi.

Serbia super league mathc betwen
the teams on Cukaricki and Rad.
in this match we place the bet on
the home winner by handicap cover
and my call is 2:0 3:0 win for
Cukaricki. the road team is a team with 4 wins
2 draws and 15 loses the team is
with bad form at last and coming
since four defeats in the last five
matchs.
At the home side performance is a good for a trust to win with more
goals.
The last matches the team on
Cukaricki is a team with 2 wins 1
drw and the season is 5th team
now.

Hapa najiongeza na DC

Kwann husiweke handicap ya 2:0??
 
Zimepatikana odds 2.62


View attachment 650156

Kwa kuwa game ya kwanza inaanza saa 2 na nusu usiku, ngoja nisubiri subiri km kunatuwa na ushauri. Ikifika saa 2 na robo sijapata ushauri wowote, najitosa.
Hizi team za Turkey zilizoshinda goli nyingi round ya kwanza ni kheri kutoziweka kabisa mfano Besiktas jana alishindwa kutoa 3+ na wakati mechi ya kwanza alishinda goli 9.
Huyo B. Munchen bora umpe 2+ full time..nahisi odd zitakuwa hizohizo kuliko hiyo ya First half over 0.5 halafu after 45 min 0-0 mkeka unachanika mapema kabisa na hizo zingine zinakuwa hazina maana tena..
 
OK mkuu nilishaelewa ile mambo ila huu mkeka nina wasi wasi fernebache anaweza haribu hapo au unasemaje
Mtu mwnyw anaecheza nae kwenye ligi daraja LA pili huko anasua sua.

Striker zake butu, afu kitakwimu hicho kitimu hakiko form recently.

Kwny ligi yake, kwny game 10 zilizipita. Game 7 adui katangulia kupata goli.

Pia kwny ligi yake tokea ligi imeanza, kaongoza 1st half mechi 1 tu.

Zilizobaki katoa sare 1st half, na 4 katoa sare 1st half afu 2nd half kapoteza.

Game iliyopita fernabanche kampiga goli 6:0

Na kwny msimamo wa ligi kuu Turkey, ferna wanaonekana wanawahi sana kupata matokeo 1st half.

Kwahyo leo, fernabanche atatafuta ushindi 1st half, kisha 2nd half ata relax.

Sioni kama itakua ni game yenye goals nyingi.
 
Back
Top Bottom