Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuweni makin sana na timu za nchi zenye baridi.

Nko naangalia CNN, wako live.

Wanasema London kuna snow &ice fall kubwa sana leo

Barabara hazipitiki, Train na baadhi ya mashirika ya ndege yamestisha safar zake kwa siku ya leo
Uholanzi pia game kadhaa ziliahrishwa siku ya jpili
 
Hizi team za Turkey zilizoshinda goli nyingi round ya kwanza ni kheri kutoziweka kabisa mfano Besiktas jana alishindwa kutoa 3+ na wakati mechi ya kwanza alishinda goli 9.
Huyo B. Munchen bora umpe 2+ full time..nahisi odd zitakuwa hizohizo kuliko hiyo ya First half over 0.5 halafu after 45 min 0-0 mkeka unachanika mapema kabisa na hizo zingine zinakuwa hazina maana tena..

Noted mkuu ... Thanks
 
Cukaricki vs Rad Beograd.
Expert wa betting ana maoni haya kuhusu hii mechi.

Serbia super league mathc betwen
the teams on Cukaricki and Rad.
in this match we place the bet on
the home winner by handicap cover
and my call is 2:0 3:0 win for
Cukaricki. the road team is a team with 4 wins
2 draws and 15 loses the team is
with bad form at last and coming
since four defeats in the last five
matchs.
At the home side performance is a good for a trust to win with more
goals.
The last matches the team on
Cukaricki is a team with 2 wins 1
drw and the season is 5th team
now.

Hapa najiongeza na DC
Hapo na Mimi mwnyw hyo game nliiona asbuh, hizo odds walzompa away team zilintia mashaka.

Sema sikufuatilia kwa makini.
Hebu niifatilie vzur hyo tip mkuu.
 
Newcastle vs Everton
*Everton No Clean Sheeet*
Swansea vs City
*12 second half*
Spurs vs Brighton
*Spurs normal*
Man United vs Bournermouth
*Man U normal*
West Ham vs Arsenal
*over 1.5 or 2-5 goal range*
Liverpool vs Westbrown
*Liverpool normal*
Liverkursen vs bremen
*DC Liverkusen*
Hoffenheim vs Stuggart
*DC Hoffenheim*
Bayern vs Cologne
*Under 5.5*
Schalke vs Ausburg
*DC Schalke*
H Berlin vs Hannover
*DC H Berlin*
Celtic vs Hamilton
*Under 5.5*
Hibernian vs Rangers
*over 1.5*
Johnstone vs Arbedeen
*Over 1.5*
Al jazira vs Real Madrid
*Under 5.5*
Soton vs Leicester
*Soton No Clean Sheet*
*Odds 40.54*
Pesa hiyo sijawahi tupia mkeka humu sasa hii ni pesa halali kwa malipo ya mtanzania
Karibuni
Mie nasepa nao hapa kwa kwa buku sio mbaya
 
TWENDE KAZI

Mkeka wa Odd 2.2
Najilipua namna hyo.

Nna shida na Laki kesho asbuhi.
***fuata Nyuki ule asali***
2017-12-13-17-15-19.jpg
 
wabelgiji huwa siwasomi mda mwingine binafsi. but yote kwa yote hii ni bahati tu
Namuamini sana chorleroi, Yuko form sana this season.

Atamshika ipasavyo Brugge.

Kumbuka hii game ni kama derby. Mshindi wa 1 na wa 2 kwny ligi.

Nategemea tough game.

Sitegemei zaid ya goli 2 first half
 
Wakuu kuna hii game ya Hetha Berlin vs Hannover.

Hetha Berlin hayuko form kipindi hiki.

Sidhan kama anstahili Odd hizo alizopewa.

Hannover anaonekana kua form sana kipindi hiki.

Na hivi karbuni Hannover ammetoka kumkalisha Hannover na Dortmund

MAAMUZI
Nna mmbeba Hannover 96 na goli 2 kibindoni.
Kapewa Odd nyingi sana aisee.
 
Namuamini sana chorleroi, Yuko form sana this season.

Atamshika ipasavyo Brugge.

Kumbuka hii game ni kama derby. Mshindi wa 1 na wa 2 kwny ligi.

Nategemea tough game.

Sitegemei zaid ya goli 2 first half
ngoja tuone hiyo badae
 
Wakuu kuna hii game ya Hetha Berlin vs Hannover.

Hetha Berlin hayuko form kipindi hiki.

Sidhan kama anstahili Odd hizo alizopewa.

Hannover anaonekana kua form sana kipindi hiki.

Na hivi karbuni Hannover ammetoka kumkalisha Bayern.

MAAMUZI
Nna mmbeba Hannover 96 na goli 2 kibindoni.
Kapewa Odd nyingi sana aisee.
ni kweli kabisa hanover yuko vzr but kama naiona gg
 
Back
Top Bottom