GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Nshakufanao namwachia allahHuu mkeka nmeupenda. Naufata kama ulivo.
hahaha, usilale bila "cheque" mkuu ...
PS: Juz kati nilicheka sn, nlikutana na mdau anaita mikeka ile ya vikaratasi "cheque" ... ana msemo wake anasema kulala na buku kwenye wallet ni uzembe, bora ulale na cheque.
nimeuelewa Mkuu
Anything is possible: Southampton-leicester(HTFT)# 1/1
5 odds
[Maxbet it
All thebest
Inapendeza pia ukitoa sadakaHii inaitwa show ya kibabe.
Anaeweza TWENDE kazi
Odds 88.01
Nmetia buku 2, marejesho Tsh. 176,O00 pesa halali za kitanzania.
View attachment 650317
Mhindinyokooo mnapambana na 2-3 odds timu NNE kaweka moja tu yakuagana na sikuAljazeera 1st half win alikuwa na point 28 na kitu huo ujasiri sasa wa kumpa maana jina madrid tu linaogopesha
na ndo maana amepewa hvyo maana kushinda 45'mns ni mtitiAljazeera 1st half win alikuwa na point 28 na kitu huo ujasiri sasa wa kumpa maana jina madrid tu linaogopesha
na ndo maana amepewa hvyo maana kushinda 45'mns ni mtitiAljazeera 1st half win alikuwa na point 28 na kitu huo ujasiri sasa wa kumpa maana jina madrid tu linaogopesha
Kama ulimwamini Madrid basi umekwisha katupiwa 2 mpaka sasa
Anaondoka na mikeka mingi mno kwanza wengi walicheza 1st half over 1.5, 2/2 . Hebu fikiria aljazeera ndo umpe 1/1 unafunga mahesabu kabisaMhindinyokooo mnapambana na 2-3 odds timu NNE kaweka moja tu yakuagana na siku
Anaondoka na mikeka mingi mno kwanza wengi walicheza 1st half over 1.5, 2/2 . Hebu fikiria aljazeera ndo umpe 1/1 unafunga mahesabu kabisa
Pdidy hao wa naija bhana naona na mkwara kauweka apo chinPesahioooooo
Correct scoreView attachment 650359