Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Baada ya leo MCHANA na jana viwanja kuwaka moto KWA OVER 2.5

Jion hiivnaona tips znazotrend sana ni Over 2.5 na Both team to score.

Muhindi alvo mchawi unaeza kuta usiku huu zinabuma.
Hizoo n za keshoo oga
 
Pamoja sana, hebu ngoja nizifanyie analysis kwanza.

Inaweza kua ela hyo
Usikumzurii
Lazio naiona ov 2,5
Fleetwood namwna na GG n ov 1,5
USA w u17 naona wanakuja na ov 2*5
Ngoja tuone
Newton nao ov 1,5 yawazi
 
Corners inapendezaga sana weekend na nakulaga sana.

German, France, Italy, Scotland, England, spain na Belgium

Maana ktk hz ni ligi kubwa duniani

Na znakuaga live, kwahyo nnakuaga na timu zangu kadhaa za kupiga pesa kwenye upande wa kona.
Kampuni gani inakuwa na corner live...pls share
 
Fiji gg n ov 2,5(int friend)
Ajax gg n ov 1,5 (Holland)
Oriente petrol gg (bolv)

INGOD WE TRUST THx N PRAISE UR LORD MORROW
 
MACCABI TELVAVI

FT X

[HASHTAG]#STAKE[/HASHTAG] KIDNEY'S
Hayo matokeo nlitarajia

Dah, nliupeleka huu mkeka

Sema
Zamalek peke yake ameninyima hela dakika za mwisho mwisho

Zlkua Odd 15.5 za pesa iliyoshiba
IMG_20171214_231626.jpg
 
LEO WAARABU WAMENIFANYIA USALITI WA HALI YA JUU.
Mwingine huu hapa nliupeleka vizuri.

Amekua kuuchana El maqasa peke ake.
IMG_20171214_233413.jpg
 
mkuu hii kitu na'experience nacho mkuu wala hakinipag shida ila sema server zao Mara vistak, labda kwavile natumia sim
Hii kitu ukitaka ufaidi tumia Laptop uwe na internet yenye kasi na bundle lako..
Meridian wana virtual ya league na nyingine inachezwa haiko kwenye mfumo wa league wa Cup...
Premier wanayo Virtual football league, VFL na Virtual football cup, VFC
M-BET wana league.
 
15-12-17

Levante ht X
Paris fc gg
Oostende gg n ov 1,5
Sydney fc win n ov 1,5

*INGOD WE TRUST TIPS*

ACCA II

Morrow tips 92,6%

Sevilla gg n ov 1,5
Monaco gg n ov 1,5
Fogia ov 2,5(ital b)
Clemonte gg (France b)

*INGODWETRUST*

ACCA IV
.
Waaljk GG
NEC OV 2,5
JONG UTRECH GG
Fc OSS OV 2,5

[HASHTAG]#STAKEKIDNEY[/HASHTAG]

[HASHTAG]#KESHONIKUMBUSHENIKURUDISHAKIDNEYZENU[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom