Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaaaniii m haoo sigusi zaidi ya ov 2,5 tens naweka naenda kulalaaa kamaniko home alarm ikiita msgyapesa inaita naenda pata kmotoo mubashara narudi kulala na shemejiyenu
Ha ha ha...

Wasaudia Arabia na wamisri leo wamenipiga jihadi ya kipalestina.

Si mbaya lakini sisi ambao tushaizatiti mioyo katika hii sekta mioyo huwa imejaa matumaini tu haikati tamaa. Sasa mkuu fanya ujitahidi na corners naona hao wadachi wameshatupa kona za kutosha tu ilikua hela nzuri tu
Corners inapendezaga sana weekend na nakulaga sana.

German, France, Italy, Scotland, England, spain na Belgium

Maana ktk hz ni ligi kubwa duniani

Na znakuaga live, kwahyo nnakuaga na timu zangu kadhaa za kupiga pesa kwenye upande wa kona.

: ACCA ONE

LA calera ov 1,5
CD Olimpia drw
USA w u17 OV 2,5
FLEETWOOD GG N OV 1,5
*MAXBET*

ACCA TWO
LAZIO OV 1,5/2,5
[: NEWTON OV 1,5
HERACLES OV 2,5
AJAX 1HT OV 1,5

*STAKEKIDNEY*

Dah Nimepata ahueni kidogo hata nirudishe 1 ya 5000000 ya pesa ambazo kanji kanipiga.

Baada ya soka kuwa na utata leo nikaamua kuwatembelea Warusi kwenye Hockey nikachagua timu 7 na kuzipa Over 4.5 goal timu 6 zimetoa tayari na timu moja ina Magoli 4 nasubiri moja nipate hata kuvuta mtaji upya, Nasubiri tu Bao moja mhindi anipe kidogo changu ili usiku Niwatafute wa Marekani na Canada huwa wako vizuri kwenye Hockey.

Soka litaniua nitawekeza zaidi kwenye Hockey kwa sasa.
premier bet kaanza uhuni ile ligi pendwa ya canada tarehe 17 itakuwepo ila nimetembelea naona kama hajaiweka vile

[HASHTAG]#PORTOWIN[/HASHTAG] N OV1,5/2,5

[HASHTAG]#STAKEURKIDNEY[/HASHTAG]

wakuu ni kampuni gani ya kubet yenye option ya virtual, tofauti na princess bet cz prinss server error sana hadi inakera

[HASHTAG]#INGOD[/HASHTAG] WE TRUST TIPS
IMG-20171214-WA0227.jpg

[quote uid=262945 name="saligongo" post=24851572]Sorry wadau,naomba kunijuza kuhusu over and under maana kila nikiweka mzigo muhindi anachukua mapemaaaaa[/QUOTE]
Over 0.5 - mechi iwe na jumla ya goal 1 na kuendelea.

Over 1.5. - mechi iwe na jumla ya goli 2 na kuendelea.

Over 2.5 - mechi iwe na jumla ya goli 3 na kuendelea

Over 3.5 - mechi iwe na jumla ya goli 4 na kuendelea.

Over 4.5 - mechi iwe na jumla ya goli 5 na kuendelea.

Note: Hiyo over/under hutumika sehem mbali mbali kama Goals, Corners, Yellow cards, Red card, shots on target, shots off target, crosses n. k
Ahsante kiongozi

Msaada please!!
Jamani kampuni IPI ni mzuri kubetia? Mkeka unazingua,sportpesa kujisajili kindumbwendumbwe msg ya pincode ctumiwi,niende wap tena wadau

15-12-17

Levante ht X
Paris fc gg
Oostende gg n ov 1,5
Sydney fc win n ov 1,5

*INGOD WE TRUST TIPS*

ACCA II

Morrow tips 92,6%

Sevilla gg n ov 1,5
Monaco gg n ov 1,5
Fogia ov 2,5(ital b)
Clemonte gg (France b)

*INGODWETRUST*

ACCA IV

Waaljk GG
NEC OV 2,5
JONG UTRECH GG
Fc OSS OV 2,5

[HASHTAG]#STAKEKIDNEY[/HASHTAG]

15-12-17

Levante ht X
Paris fc gg
Oostende gg n ov 1,5
Sydney fc win n ov 1,5

*INGOD WE TRUST TIPS*

ACCA II

Morrow tips 92,6%

Sevilla gg n ov 1,5
Monaco gg n ov 1,5
Fogia ov 2,5(ital b)
Clemonte gg (France b)

*INGODWETRUST*
Baada ya leo MCHANA na jana viwanja kuwaka moto KWA OVER 2.5

Jion hiivnaona tips znazotrend sana ni Over 2.5 na Both team to score.

Muhindi alvo mchawi unaeza kuta usiku huu zinabuma.

Back
Top Bottom